mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Sahv watu wanaambiwa wakened naziHili taifa kuna mahali limetoboka 🤣🤣
Mwendo wa kflnnnn tu
Ova
Sahv watu wanaambiwa wakened naziHili taifa kuna mahali limetoboka 🤣🤣
Kwamba angekuwa over 16 years Ni halali kupakua choo mjuba mwenzie?Hii stori ina mapungufu mengi. Huyo kijana wa miaka 16 katengenezwa ionekane ni katoto kasikojitambua.
Mara si ndio wanakotoka akina James Delicious?Wa arusha nao washaingia kwenye mfumo wa pwani? naona wabishi tumebaki sisi tu watu wa mara
Wacha aende jela akatafunwe na wazoefu.Angevumilia tu huo muwasho...ona sasa🙃
Hii hbr vp, sasa km kijana ndio alimwingilia huyo mzee inakuwaje kijana ndiyo atembee kwa shida?Jeshi la polisi wilayani Arumeru, mkoa wa Arusha, linamsaka Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Steve, anaeishi katika kitongoji Cha olmareti katika Kijiji Cha kivulu, Kwa kosa la kumuomba mwanafunzi wa kiume wa kidato Cha tatu mwenye umri wa miaka 16 amuingile kinyume na maumbile.
Mwanafunzi huyo akieleza ilivokuwa anasema kuwa aliitwa na baba huyo wakati akipita njia ndipo alipomrubuni na kuingia nae ndani.
Anaendelea kuusema kuwa Baba huyo alimlazimisha kijana huyo amuingilie kinyume na maumbile na alifanya kitendo hicho usiku kucha kwani walianza saa nne ya usiku hadi saa kumi na Moja Asubuhi,
Mama mzazi wa kijana huyo aliyejitambulisha Kwa jina la Upendo Jackson anasema Kuna mama mmoja jirani alimuita na kumpeleka nyumbani kwa Baba huyo na kumkuta mtoto wake akiwa anatoka Bafuni ameshikilia mafuta ya kupaka huku akitembea Kwa shida ndipo alipoulizwa kulikoni ndipo baadae alieleza ukweli kuwa baba huyo alimlazimisha amuingilie kinyume na maumbile usiku kucha na kwamba sio yeye amefanyiwa Bali alikuwa anamfanyia baba huyo. Na alimtishia kuwa asikisema Kwa mtu yoyote yule basi atamkata shingo.
Mama mzazi wa kijana huyo Upendo Jackson anasema kuwa hakuamini kama mwanae hajaingiliwa na hivyo basi Kwa kushirikiana na Wamama wengine walimpeleka kijana huyo hospital kumpima kama aliingiliwa au lah ndipo majibu yalionyesha kuwa hajaingiliwa.
Mwenyekiti wa Kijiji hicho anasema kuwa Baba huyo amekuwa akiishi mwenyewe na baada ya kutokea Kwa tukio hilo ametoroka na hajulikani alipo.
Una ndizi we shoga, angalia mpk kinyesi kimehamia kichwani. What Useless sperm!Sangamwalogesha naona michezo yako umehamishia kwa watoto.
Dini gani huyu mshenzi? Tuanzie hapaJeshi la polisi wilayani Arumeru, mkoa wa Arusha, linamsaka Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Steve, anaeishi katika kitongoji Cha olmareti katika Kijiji Cha kivulu, Kwa kosa la kumuomba mwanafunzi wa kiume wa kidato Cha tatu mwenye umri wa miaka 16 amuingile kinyume na maumbile.
Mwanafunzi huyo akieleza ilivokuwa anasema kuwa aliitwa na baba huyo wakati akipita njia ndipo alipomrubuni na kuingia nae ndani.
Anaendelea kuusema kuwa Baba huyo alimlazimisha kijana huyo amuingilie kinyume na maumbile na alifanya kitendo hicho usiku kucha kwani walianza saa nne ya usiku hadi saa kumi na Moja Asubuhi,
Mama mzazi wa kijana huyo aliyejitambulisha Kwa jina la Upendo Jackson anasema Kuna mama mmoja jirani alimuita na kumpeleka nyumbani kwa Baba huyo na kumkuta mtoto wake akiwa anatoka Bafuni ameshikilia mafuta ya kupaka huku akitembea Kwa shida ndipo alipoulizwa kulikoni ndipo baadae alieleza ukweli kuwa baba huyo alimlazimisha amuingilie kinyume na maumbile usiku kucha na kwamba sio yeye amefanyiwa Bali alikuwa anamfanyia baba huyo. Na alimtishia kuwa asikisema Kwa mtu yoyote yule basi atamkata shingo.
Mama mzazi wa kijana huyo Upendo Jackson anasema kuwa hakuamini kama mwanae hajaingiliwa na hivyo basi Kwa kushirikiana na Wamama wengine walimpeleka kijana huyo hospital kumpima kama aliingiliwa au lah ndipo majibu yalionyesha kuwa hajaingiliwa.
Mwenyekiti wa Kijiji hicho anasema kuwa Baba huyo amekuwa akiishi mwenyewe na baada ya kutokea Kwa tukio hilo ametoroka na hajulikani alipo.
Sio matakoni kweli !Hili taifa kuna mahali limetoboka 🤣🤣
Umri huo unatomba kutwa kucha na huchagui tundu...kesho watadai machoko wapo pwani na visiwani tu,kumbe michoko milevi ipo kilimanjaro,arusha huko imetulia tu!arusha tena! hata hivyo kijana ni hazina atunzwe vizuri kama masaa saba alikuwa kazini wale wa kimoja chali waliko watakuwa wanaona aibu...
Kwa sababu mikoa ya pwani hasa tanga, Mombasa na visiwa vya Zbar ndio kunaongoza Kwa michezo ya upindehapana ni nchi ya CHUGA.
hii habari ingetokea visiwani au mikoa ya pwani.pasingetosha humu
Huyo dogo ni experienced, amepeform "show show" usiku kucha, erection huwa haishurutishwi ilikuwa ni erotic attractionKijana kasimamia show masaa 7 Kwa kulazimishwa??? 😀😀😀
Wanajuana hao
Siyo mtombaji wewe,nilitomba kuanzia saa tano hadi tisa usiku,asubuhi nikawa natembea kama mlevi,magoti dhaifuHuenda familia imetumia hiyo njia kuficha code ya heshima ya mtoto wao ...maana iwe kalazimishwa kuingiliwa au yeye kalazimishwa kumwingilia huyo mzee, kosa la huyo baba lipo vile vile.
Itakua, maana haonekani humuHuyo mbaba sio BICHWA KOMWE - kweli??
Mkuu huyo ni Muslim ☪️ mwenzio... mnajitahidi sana kutoa utamu wa choo..Dini gani huyu mshenzi? Tuanzie hapa
Umepagawa si buree...hahahahaAliyekushauri uwe Makolokolo ndiye aliyekupoteza, sisi huku utopoloni ni nderemo na vifijo kila siku 🤸😅
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Yah sio kama tunavyosikiaIla hapo kuna kitu wanatuficha hawa hii ni serious aiseee