Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 2,519
- 5,504
Mzee kapigwa kilemba masaa saba na mtoto wa miaka 16, hali ni mbaya sanaMzee wa Arusha kavuliwa Ubingwa....Sad.
Mzee kapigwa kilemba masaa saba na mtoto wa miaka 16, hali ni mbaya sanaMzee wa Arusha kavuliwa Ubingwa....Sad.
Arusha ndo wanajifanyaga wagumu siyo!? Nilijua tu, machoko huwa wana act ugumu kuuhadaa umma. Arusha mji wa machokoJeshi la polisi wilayani Arumeru, mkoa wa Arusha, linamsaka Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Steve, anaeishi katika kitongoji Cha olmareti katika Kijiji Cha kivulu, Kwa kosa la kumuomba mwanafunzi wa kiume wa kidato Cha tatu mwenye umri wa miaka 16 amuingile kinyume na maumbile.
Mwanafunzi huyo akieleza ilivokuwa anasema kuwa aliitwa na baba huyo wakati akipita njia ndipo alipomrubuni na kuingia nae ndani.
Anaendelea kuusema kuwa Baba huyo alimlazimisha kijana huyo amuingilie kinyume na maumbile na alifanya kitendo hicho usiku kucha kwani walianza saa nne ya usiku hadi saa kumi na Moja Asubuhi,
Mama mzazi wa kijana huyo aliyejitambulisha Kwa jina la Upendo Jackson anasema Kuna mama mmoja jirani alimuita na kumpeleka nyumbani kwa Baba huyo na kumkuta mtoto wake akiwa anatoka Bafuni ameshikilia mafuta ya kupaka huku akitembea Kwa shida ndipo alipoulizwa kulikoni ndipo baadae alieleza ukweli kuwa baba huyo alimlazimisha amuingilie kinyume na maumbile usiku kucha na kwamba sio yeye amefanyiwa Bali alikuwa anamfanyia baba huyo. Na alimtishia kuwa asikisema Kwa mtu yoyote yule basi atamkata shingo.
Mama mzazi wa kijana huyo Upendo Jackson anasema kuwa hakuamini kama mwanae hajaingiliwa na hivyo basi Kwa kushirikiana na Wamama wengine walimpeleka kijana huyo hospital kumpima kama aliingiliwa au lah ndipo majibu yalionyesha kuwa hajaingiliwa.
Mwenyekiti wa Kijiji hicho anasema kuwa Baba huyo amekuwa akiishi mwenyewe na baada ya kutokea Kwa tukio hilo ametoroka na hajulikani alipo.
Ukikojoa mabao mengi misuli ya miguu inaishiwa nguvuDaaaah sasa kwanini alitoka bafuni akiwa anatembea kwa shida wakuu...?
Na kama sio yeye aliyefilimbwa
Kwa haraka haraka ndo umefikilia hvo mkuuUkikojoa mabao mengi misuli ya miguu inaishiwa nguvu
Yaaa kwani hajawahi kojoa bao Tano kwenda juu?Kwa haraka haraka ndo umefikilia hvo mkuu
Daaah aiseee haya bana..Yaaa kwani hajawahi kojoa bao Tano kwenda juu?
Yawezekana pia maana ni aibu kubwa sana japo hata wakificha Hilo swala ni kama mimba halifichikiDaaah aiseee haya bana..
Ila kuna mchambuzi huko juu katoa conclusion kuwa familia imesema hayo kuficha tu yaliyo tokea ila mambo yalikua GG yaani both team score
Mkuu inaweza fichika unazani wale watu wanaopigwa na wake zao we unaweza watambua.. mYawezekana pia maana ni aibu kubwa sana japo hata wakificha Hilo swala ni kama mimba halifichiki
Otea ni nani haswa tena wa kunipagawisha chini ya jua..🤔🤭Umepagawa si buree...hahahaha
Bwana atajibu maombi yako soon... 😆 😆Otea ni nani haswa tena wa kunipagawisha chini ya jua..🤔🤭
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Huyu lazıma ni wa chama cha KijaniDuh balaa..