Arusha: Baba atafutwa na jeshi la polisi kwa kumlazimisha mwanafunzi amlawiti

Jeshi la polisi wilayani Arumeru, mkoa wa Arusha, linamsaka Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Steve, anaeishi katika kitongoji Cha olmareti katika Kijiji Cha kivulu, Kwa kosa la kumuomba mwanafunzi wa kiume wa kidato Cha tatu mwenye umri wa miaka 16 amuingile kinyume na maumbile.

Mwanafunzi huyo akieleza ilivokuwa anasema kuwa aliitwa na baba huyo wakati akipita njia ndipo alipomrubuni na kuingia nae ndani.

Anaendelea kuusema kuwa Baba huyo alimlazimisha kijana huyo amuingilie kinyume na maumbile na alifanya kitendo hicho usiku kucha kwani walianza saa nne ya usiku hadi saa kumi na Moja Asubuhi,

Mama mzazi wa kijana huyo aliyejitambulisha Kwa jina la Upendo Jackson anasema Kuna mama mmoja jirani alimuita na kumpeleka nyumbani kwa Baba huyo na kumkuta mtoto wake akiwa anatoka Bafuni ameshikilia mafuta ya kupaka huku akitembea Kwa shida ndipo alipoulizwa kulikoni ndipo baadae alieleza ukweli kuwa baba huyo alimlazimisha amuingilie kinyume na maumbile usiku kucha na kwamba sio yeye amefanyiwa Bali alikuwa anamfanyia baba huyo. Na alimtishia kuwa asikisema Kwa mtu yoyote yule basi atamkata shingo.

Mama mzazi wa kijana huyo Upendo Jackson anasema kuwa hakuamini kama mwanae hajaingiliwa na hivyo basi Kwa kushirikiana na Wamama wengine walimpeleka kijana huyo hospital kumpima kama aliingiliwa au lah ndipo majibu yalionyesha kuwa hajaingiliwa.

Mwenyekiti wa Kijiji hicho anasema kuwa Baba huyo amekuwa akiishi mwenyewe na baada ya kutokea Kwa tukio hilo ametoroka na hajulikani alipo.
Dah mgalatia mwenzetu katuaibisha balaa. I wish he was kobaaz. Yani hapa pangechangamka balaa. Ila basi Tena imeangukia kwetu. Sijui tufichae wapi nyuso zetu wapi?

Ila Sisi wagalatia Kwa kuiga Tu haya mambo NI ya upande wa pili.

Mufti kuku The Infinity ITR Adiosamigo Malaria 2 gallow bird Tanganian hydroxo dem boy Covax Missile of the Nation mjingamimi mwandende

nyau de adriz
 
Jeshi la polisi wilayani Arumeru, mkoa wa Arusha, linamsaka Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Steve, anaeishi katika kitongoji Cha olmareti katika Kijiji Cha kivulu, Kwa kosa la kumuomba mwanafunzi wa kiume wa kidato Cha tatu mwenye umri wa miaka 16 amuingile kinyume na maumbile.

Mwanafunzi huyo akieleza ilivokuwa anasema kuwa aliitwa na baba huyo wakati akipita njia ndipo alipomrubuni na kuingia nae ndani.

Anaendelea kuusema kuwa Baba huyo alimlazimisha kijana huyo amuingilie kinyume na maumbile na alifanya kitendo hicho usiku kucha kwani walianza saa nne ya usiku hadi saa kumi na Moja Asubuhi,

Mama mzazi wa kijana huyo aliyejitambulisha Kwa jina la Upendo Jackson anasema Kuna mama mmoja jirani alimuita na kumpeleka nyumbani kwa Baba huyo na kumkuta mtoto wake akiwa anatoka Bafuni ameshikilia mafuta ya kupaka huku akitembea Kwa shida ndipo alipoulizwa kulikoni ndipo baadae alieleza ukweli kuwa baba huyo alimlazimisha amuingilie kinyume na maumbile usiku kucha na kwamba sio yeye amefanyiwa Bali alikuwa anamfanyia baba huyo. Na alimtishia kuwa asikisema Kwa mtu yoyote yule basi atamkata shingo.

Mama mzazi wa kijana huyo Upendo Jackson anasema kuwa hakuamini kama mwanae hajaingiliwa na hivyo basi Kwa kushirikiana na Wamama wengine walimpeleka kijana huyo hospital kumpima kama aliingiliwa au lah ndipo majibu yalionyesha kuwa hajaingiliwa.

Mwenyekiti wa Kijiji hicho anasema kuwa Baba huyo amekuwa akiishi mwenyewe na baada ya kutokea Kwa tukio hilo ametoroka na hajulikani alipo.
BICHWA KOMWE -
 
AH. UJINGA HUO.
 
Sawa ila hii michezo ni ya tanga,pwani,zanzibar na kuliko na waislamu wengine,but arusha mmetuangusha kwa hili
MAKAFIRI NI WATAKATIFU, HAWANA MICHEZO HIYO KABISAA, WALE WOTE WANAOHALALISHA NDOA YA JINSIA MOJA WA BARANI LA ULAYA, MAREKANI N.K. NI WAISLAM WALE
 
Back
Top Bottom