smigo4u
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,407
- 2,837
Hakunaga lemala bali kuna lemara afu umekuja toka dar unafikia majengo unajiona umetembea chuggaaaaaa vunga chaliiii afu chugga hatutakagi masnitch kama ww usamberaaa peleka dsm kwa wadadaHayo maghorofa uliyoyaweka hapo ni ya wahindi...mwarusha wa kawaida anakaa maeneo ya ovyo ovyo kama majengo.kwa moromboo.matejoo.unga ltd.lemala...barabara hakuna huko...vijinjia vidogo vidogo wanavyonunua kwa wazee wakiarusha