Arusha: Dereva wa pikipiki aliyekaripiwa kwa kumkosa mtoto apandwa hasira na kuwaita wenzake kuivamia sherehe kwa mapanga

Sehemu ngumu sana kulelea watoto ni Arusha na Dar, Bangi nje njee!
 
True pia unapitia Njia ya kirua vunjo mpaka kawawa road kila siku spread 140
 
Reactions: rr4
Kwa hali hii vifo havitaisha
 
Reactions: rr4
Hao jamaa watakuwa wanakula na WAKUBWA,au ni michongo ya WAKUBWA
Ndo maana jamaa wanajiamini na wanafanya wanavyotaka
 
Hahahahh yaani kugombezwa tu umeenda kuita wenzako angepigwa kibao si ndio wangeua.Arusha acheni kutumia hiyo mimea haiwai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…