Na singeli sauti za juu wangekuja nazo..wameru, wamasai, waarusha. mapanga,sïme,visu hiyoo ni jadi yao ata sio bhangi. Ni kama hiloo tukio lingetokea pwan. Huyoo boda angewaita wenzaķe aje kuwachamba/kuwasuta.
yaani umefanya kosa alafu bado unavimba!
Mkoa wa Arusha watu wanadekezwa sana Serikali impeleke kichaa ChalamilaView attachment 3173190
View attachment 3173242
taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio baba wa mtoto aliyekuwa akifanyiwa ubarikio.
Inadaiwa chanzo cha tukio ni dereva wa pikipiki aliebeba dawa za kulevya aina ya mirungi kuendesha kwa kasi na nusura kumgonga mtoto, baada ya kukaripiwa ndipo alipoenda na kurudi na wenzake
Hawa jamaa watafutwe kokote waliko na waletwe kwenye vyombo vya sheria haraka iwezekanavyo!!!View attachment 3173190
View attachment 3173242
taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio baba wa mtoto aliyekuwa akifanyiwa ubarikio.
Inadaiwa chanzo cha tukio ni dereva wa pikipiki aliebeba dawa za kulevya aina ya mirungi kuendesha kwa kasi na nusura kumgonga mtoto, baada ya kukaripiwa ndipo alipoenda na kurudi na wenzake
Hiiiiiiiiiiwameru, wamasai, waarusha. mapanga,sïme,visu hiyoo ni jadi yao ata sio bhangi. Ni kama hiloo tukio lingetokea pwan. Huyoo boda angewaita wenzaķe aje kuwachamba/kuwasuta.
Majibu ya maombi ya janaView attachment 3173190
View attachment 3173242
taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio baba wa mtoto aliyekuwa akifanyiwa ubarikio.
Inadaiwa chanzo cha tukio ni dereva wa pikipiki aliebeba dawa za kulevya aina ya mirungi kuendesha kwa kasi na nusura kumgonga mtoto, baada ya kukaripiwa ndipo alipoenda na kurudi na wenzake
Ina maana Yale maombi hayajasaidia? Au yalikuwa Kwa ajili ya mamaView attachment 3173190