Arusha: Dereva wa pikipiki aliyekaripiwa kwa kumkosa mtoto apandwa hasira na kuwaita wenzake kuivamia sherehe kwa mapanga

Arusha inapoelekea itakuwa na Kizazi cha ovyo sana.
Wana kaushamba flani ivi sijui wamekatoa wapi
 
Uzuri ujinga wao wanafanya huko huko, afu ni wavivu kimaku hao jamaa

Nimekaa kota za Soweto bhasi bhana kila wakikuona mgeni mtaani wanaomba omba Hela ukiwanyima wanatoa shit au kupanga kukuibia

Kuna mtaa wanaita Hololo vijana wamechoka vibaya, ila wanausela Mavi Sana, nafikiri shida wengi wao wamezaliwa hapo kutoka mbali ameenda Moshi au babati jamii ni zile zile
 
Mm ningekuwa mkuu wa kituo ningeeanza na kuuza pikipiki zao kwanza ili kumplipa fidia mhusika.
 
View attachment 3173190

View attachment 3173242
taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio baba wa mtoto aliyekuwa akifanyiwa ubarikio.

Inadaiwa chanzo cha tukio ni dereva wa pikipiki aliebeba dawa za kulevya aina ya mirungi kuendesha kwa kasi na nusura kumgonga mtoto, baada ya kukaripiwa ndipo alipoenda na kurudi na wenzake
Mkoa wa Arusha watu wanadekezwa sana Serikali impeleke kichaa Chalamila
 
Ujinga mwingi huko wenyewe wanajiona wajanja

Ova
 
View attachment 3173190

View attachment 3173242
taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio baba wa mtoto aliyekuwa akifanyiwa ubarikio.

Inadaiwa chanzo cha tukio ni dereva wa pikipiki aliebeba dawa za kulevya aina ya mirungi kuendesha kwa kasi na nusura kumgonga mtoto, baada ya kukaripiwa ndipo alipoenda na kurudi na wenzake
Hawa jamaa watafutwe kokote waliko na waletwe kwenye vyombo vya sheria haraka iwezekanavyo!!!
 
Mithali 28:19: Bali afuataye mambo ya upuuzi atapata umaskini wa kumtosha.
 
View attachment 3173190

View attachment 3173242
taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio baba wa mtoto aliyekuwa akifanyiwa ubarikio.

Inadaiwa chanzo cha tukio ni dereva wa pikipiki aliebeba dawa za kulevya aina ya mirungi kuendesha kwa kasi na nusura kumgonga mtoto, baada ya kukaripiwa ndipo alipoenda na kurudi na wenzake
Majibu ya maombi ya jana
 
Ina maana Yale maombi hayajasaidia? Au yalikuwa Kwa ajili ya mama
 
Back
Top Bottom