Sisi source yetu ni mleta Mada mpaka Mtuhumiwa atakapojitokeza na kueleza upande wake wa Story.Sisi tutajua kama kweli ni bar hapo !!??
Hata kama ni baa, huko ndani ya jeneza muhusika yumo tayari ndani????
Sisi tutakuamini vp, je labda unavisa na dereva wa gari ONESHWA hapo juu???
: MKAZANE MAISHA MAGUMU 😆
Tutakuamini vipi?Na Malisa GJ
Habari kaka.
Kuna tukio limetokea hapa Arusha usiku huu limenisikitisha sana. Kuna Familia imepata msiba, wanatakiwa kusafirisha kwenda wilayani kuzika lakini hawana uwezo. Hivyo wameomba msaada wa gari ya serikali kusafirisha maiti. Gari hiyo imebeba maiti na ndugu wachache wa marehemu.
Cha kushangaza dereva amekuja na maiti hapa Sakina bar, amepaki gari, akawashusha ndugu wa marehemu kisha akaingia ndani kutizama EPL. Nimeumia sana kuona wamama wako nje wanalia, jamaa yuko ndani anakunywa na kuangalia game. Hakika umaskini ni mbaya sana. Naomba upaze sauti ili serikali iweze kuchukua hatua kwa kitendo hiki cha kinyama na kisicho cha utu.
Binadamu wote wana haki ya kulindiwa utu wao. Umaskini usiwe sababu ya kudhalilisha wengine. Huyu dereva angekua amefiwa na baba yake mzazi, angediriki kwenda kumuanika bar halafu aangalie mpira? Namba za gari ni STM 3708. Tunaomba serikali ichukue hatua kali kwa dereva na wote waliohusika. Huu ni udhalilishaji mkubwa wa utu.View attachment 2788969View attachment 2788971
Nakazia jamaa ni dubu aiseeeKuna raia zimepinda aisee dah!
Hii nguruwe ni ya kufukuza kazi straight away yaani na hakika tunahitaji sana adhabu ya viboko irudi kwenye jamii
We chizi kweli angekuwa mama ako mzazi amekufa then akaanikwe vile kwenye Dabo kebin we ungejisikiaje?Asa jaman mtu si amekufa huyo , ukweli ni kuwa mazishi yasingefanyika usku , jamaa kaona hii sa moja na nusu achek game mana atafika tuu mda mwafaka , imekuwa nongwa duuh
khaaa! utakuwa dereva wa serikali tu.. kaongea kitu cha msingi mno wewe unasema aache kulia lia. hii nchi Ina watu wa hovyo mnoTatfta hela uache kulia lia
.. hovyo kbs! kwahiyo akapumzike bar na maiti huku wafiwa wakiwa nje wanalia unaona imekaa sawa? shuwaini kabisa ww!Mambo ya Madereva tuwaachie wenyewe.
Unajuaje je alikuwa hajisikii vizuri na kutaka kupumzika kidogo.
Kama angeendelea kuendesha na akapata ajali Nani angelaumiwa.
Safari ndefu dereva anahitaji kupumzika wakati fulami ili afike salama.
Huyu jamaa hana utu hata kidogo, hana aibu, sio binadamu kabisa khaa.Na Malisa GJ
Habari kaka.
Kuna tukio limetokea hapa Arusha usiku huu limenisikitisha sana. Kuna Familia imepata msiba, wanatakiwa kusafirisha kwenda wilayani kuzika lakini hawana uwezo. Hivyo wameomba msaada wa gari ya serikali kusafirisha maiti. Gari hiyo imebeba maiti na ndugu wachache wa marehemu.
Cha kushangaza dereva amekuja na maiti hapa Sakina bar, amepaki gari, akawashusha ndugu wa marehemu kisha akaingia ndani kutizama EPL. Nimeumia sana kuona wamama wako nje wanalia, jamaa yuko ndani anakunywa na kuangalia game. Hakika umaskini ni mbaya sana. Naomba upaze sauti ili serikali iweze kuchukua hatua kwa kitendo hiki cha kinyama na kisicho cha utu.
Binadamu wote wana haki ya kulindiwa utu wao. Umaskini usiwe sababu ya kudhalilisha wengine. Huyu dereva angekua amefiwa na baba yake mzazi, angediriki kwenda kumuanika bar halafu aangalie mpira? Namba za gari ni STM 3708. Tunaomba serikali ichukue hatua kali kwa dereva na wote waliohusika. Huu ni udhalilishaji mkubwa wa utu.View attachment 2788969View attachment 2788971
Maeneo ya njia panda Himo, kukuta gari za maiti zimepark watu wanakula/kumwagilia moyo baada ya safari ndefu kutoka Dar kuja Kaskazini ni kawaida.Huyu jamaa hana utu hata kidogo, hana aibu, sio binadamu kabisa khaa.
Nguruwe mwenyewe!Kuna raia zimepinda aisee dah!
Hii nguruwe ni ya kufukuza kazi straight away yaani na hakika tunahitaji sana adhabu ya viboko irudi kwenye jamii