Taarifa hii haina proof/evidence ya kuthibitisha kwamba hapo ni Sakina Bar.
What if dereva alipaki kwa dharula sehemu nyingine yoyote (tofauti na Bar)? mfano kupata chakula, mahitaji, n.k.
Kwa picha tu hizo, nani anaprove kwamba hapo kweli ni Sakina Bar?
Mtoa taarifa huyo angepiga picha angle zote za eneo hilo kuonesha uhalisia. Pia angechukua kavideo clip ingefaa zaidi.
Kama taarifa hii ni genuine kwa uhalisia kabisa, basi dereva huyo ni wa hovyo sana na hafai kuendelea kuwa mtumishi wa umma.
-Kaveli-