Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani akiwa mama kitu gani?We chizi kweli angekuwa mama ako mzazi amekufa then akaanikwe vile kwenye Dabo kebin we ungejisikiaje?
Hapa wewe ndio umekuwa positive?Kwani akiwa mama kitu gani?
Tunapenda sana kukuza mambo.
Ni misiba mingapi watu tunapaki mahotelini na mabar tunakunywa mpaka pakuchwe na tunaelekea majumbani? Siwapendi watanzania wenzangu kwa unafiki na uchonganishi. Hapo njia panda ile bar ya did watu wanapanda mpaka juu ha meza na misiba yao wanacheza mziki. Kwahiyo kisa imaskini wao ndo utumike kumkaanga jamaa? Akishafukuzwa kazi ndo marehemu atafufuka? Hao wamama wanaoangua kilio wako wapi? Jamaa akiangalia EPL yuko wapi? Na wanaelekea wilayani sehemu gani? Na hao waliotoa gari kwanini waliwapa ya wazi na vumbi lote hilo? Je mvua ingenyesha je?
Mambo mengine tujifunze kuwa positive tu. What if lilikua litokee jambo baya hapo endapo wangeondoka?
Siupendi umaskini na maskini wenyewe. Tuna roho mbaya sana.
After all kama ni kufiwa na hawakua wakimudu kwanini hawakuzikia sehemu aliyofia?
Kwan huo msaada wa gari katoa dereva ? Yeye si ameambiwa tu na mkuu wa idara aendeshe hilo gari, ni mshenzi tu huyo derevaSasa wewe umesema waliomba msaada hawakuwa na uwezo ndio mnataka mmukaange jamaa kwa huruma yake?.
Angalau wewe uko positive. Unakutaga ni vile vipita njia tu saa zingine kutafuta content tu. Hapo did tulikua 3 weeks ago, aisee watu wanapanda mpaka juu ya meza na chupa za pombe vichwani. Naona ni kukuza na kutaka kuleta taharuki. Hapo njia panda ni shulw tosha tu. Naona mihemko inatumika na umaskini kama fimboMaeneo ya njia panda Himo, kukuta gari za maiti zimepark watu wanakula/kumwagilia moyo baada ya safari ndefu kutoka Dar kuja Kaskazini ni kawaida.
Inawezekana wahusika walipita hapo sakina Bar kupata chochote kitu ili waendelee na safari
Mleta mada: hiyo maiti ilitokea wapi na inapelekwa wapi?
Hii inaweza saidia kujua kweli dereva alipaki hapo kwa lengo baya au nzuri
Very. Nyie ndo munalipuka kama mapepo. Huwa sisi maskini will always look for something to bring in sympath.Hapa wewe ndio umekuwa positive?
Hongera mkuu naona mambo yamekuwa sasa hatimaye.Akifa mama yako ufanye hivyo, haina shida mbona.
Mimi sio masikini na unikome kabisaVery. Nyie ndo munalipuka kama mapepo. Huwa sisi maskini will always look for something to bring in sympath.
Hahahaha dah. Nimekuita kwani mkuu? Nimesema sisi maskini.Mimi sio masikini na unikome kabisa
Nimeshtuka kweli yaani, kumbe haukuni include?Hahahaha dah. Nimekuita kwani mkuu? Nimesema sisi maskini.
Tupe proof kuwa ni bar mkuu tuanze kuchangia hoja vinginevyo majunguNa Malisa GJ
Habari kaka.
Kuna tukio limetokea hapa Arusha usiku huu limenisikitisha sana. Kuna Familia imepata msiba, wanatakiwa kusafirisha kwenda wilayani kuzika lakini hawana uwezo. Hivyo wameomba msaada wa gari ya serikali kusafirisha maiti. Gari hiyo imebeba maiti na ndugu wachache wa marehemu.
Cha kushangaza dereva amekuja na maiti hapa Sakina bar, amepaki gari, akawashusha ndugu wa marehemu kisha akaingia ndani kutizama EPL. Nimeumia sana kuona wamama wako nje wanalia, jamaa yuko ndani anakunywa na kuangalia game. Hakika umaskini ni mbaya sana. Naomba upaze sauti ili serikali iweze kuchukua hatua kwa kitendo hiki cha kinyama na kisicho cha utu.
Binadamu wote wana haki ya kulindiwa utu wao. Umaskini usiwe sababu ya kudhalilisha wengine. Huyu dereva angekua amefiwa na baba yake mzazi, angediriki kwenda kumuanika bar halafu aangalie mpira? Namba za gari ni STM 3708. Tunaomba serikali ichukue hatua kali kwa dereva na wote waliohusika. Huu ni udhalilishaji mkubwa wa utu.
View attachment 2788965View attachment 2788969View attachment 2788971
Mnajifanya wazunguuuuuuuuu kuliko hata wazungu wenyeweKwahapa mmezidi
Yambieni halmashauri zenu zitengeneze parking za magari yaliyobeba maiti na pawe na huduma zote
Hiyo maiti haiozi ndani ya siku 14 ,kelele zann Sasa
Umefanya jambo njema sna mkuu, wahuni km hao ni wakuadabishwa. Yan huyo dereva hana ubinaadamu wwte ndan ya nafc yke mmbwa huyoNa Malisa GJ
Habari kaka.
Kuna tukio limetokea hapa Arusha usiku huu limenisikitisha sana. Kuna Familia imepata msiba, wanatakiwa kusafirisha kwenda wilayani kuzika lakini hawana uwezo. Hivyo wameomba msaada wa gari ya serikali kusafirisha maiti. Gari hiyo imebeba maiti na ndugu wachache wa marehemu.
Cha kushangaza dereva amekuja na maiti hapa Sakina bar, amepaki gari, akawashusha ndugu wa marehemu kisha akaingia ndani kutizama EPL. Nimeumia sana kuona wamama wako nje wanalia, jamaa yuko ndani anakunywa na kuangalia game. Hakika umaskini ni mbaya sana. Naomba upaze sauti ili serikali iweze kuchukua hatua kwa kitendo hiki cha kinyama na kisicho cha utu.
Binadamu wote wana haki ya kulindiwa utu wao. Umaskini usiwe sababu ya kudhalilisha wengine. Huyu dereva angekua amefiwa na baba yake mzazi, angediriki kwenda kumuanika bar halafu aangalie mpira? Namba za gari ni STM 3708. Tunaomba serikali ichukue hatua kali kwa dereva na wote waliohusika. Huu ni udhalilishaji mkubwa wa utu.
View attachment 2788965View attachment 2788969View attachment 2788971
Unaongea nn wew km mleviTatfta hela uache kulia lia
Yap! Kama Sheria inasema hivyo na Kosa limethibitika pasi na mashaka yoyote.
Bila kurudisha viboko kama adhabu kwenye jamii yetu hatuwezi fika popote.
Kuna watu haijalishi ni wakubwa au watoto, kuna watu ni wa viboko tu, tandika mtu bakora hadharani mpaka achanganyikiwe.