Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Sanitizer na barakoa na chanjo hazisaidii. Kinachosaidia ni kuwa umbali wa mita 3 kati ya mtu na mtu, kuepuka mikusanyiko hasa ya kisiasa ambayo inajulikana kwa kurusha mapovu wanapozungumza eg piiiiiiiiiiiìiiiiiipoooooooooooooooziiiiiiiiiiii pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhVikao vya Chadema ni Full Sanitizer na Barakoa , picha inajieleza
Hapo lazima kunakuwa na mvua ya virus vya corona.