Endeleeni kufakamia bia za bure mtatatuliwa marina hadi akili ziwakae sawaUnachekelea nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kufakamia bia za bure mtatatuliwa marina hadi akili ziwakae sawaUnachekelea nini?
Endeleeni kufakamia bia za bure mtatatuliwa marina hadi akili ziwakae sawaUnachekelea nini?
Wakuu lkn kauzoefu kapo kwa kijana, unaeza kuta hii ni mara ya 12!Taarifa zinadai kwamba hakimu hiyo alikuwa na mazoea na kijana hiyo kutokana na kumtuma mara kwa mara
Ndio ujifunzeEndeleeni kufakamia bia za bure mtatatuliwa marina hadi akili ziwakae sawa
Hahaha we mzeeinye tamu hujui tu, unakuta bodaboda ana kishundu kimevimba kutokana na joto la kukalia pikipiki, kwanini usimtafune kijambio kwa mfano?
Cc: cocastic Sega la asali fundi bishoo Prince Mhando
Siwezi kujifunza uchoko, we endelea tu na uchoko wakoNdio ujifunze
Sawa mkuu,Siwezi kujifunza uchoko, we endelea tu na uchoko wako
Wanatasnia wanakula ndombora Yasoro aiseeePole sana mawakili wasomi Pascal Mayalla Petro E. Mselewa kwa tasnia yenu kupakwa matope
Nakazia.Walikua wapenzi hao....
Niione mie? Muione nyie ili mjue Ushoga n nn na unatokea vipiii?Cocastic hajaiona hii taarifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizoo kwann lakini??inye tamu hujui tu, unakuta bodaboda ana kishundu kimevimba kutokana na joto la kukalia pikipiki, kwanini usimtafune kijambio kwa mfano?
Cc: cocastic Sega la asali fundi bishoo Prince Mhando
Mnanichekesha nyie watu wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakimu alikuwa anahudumia huyo dogo. Yaani nikama mtu na mke wake usikute hata hilo geto hakimu ndio anatoa pesa. Brother katumwa kiepe yai huko dogo kabaki anatoa utamu
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si shemeji yake na hakimu[emoji23][emoji23].
Hiyo taarifa ukiisoma vizuri, imewekwa hivyo ili ionekane kuwa hakukuwa na ridhaa isipokuwa amebakwa baada ya kuleweshwa, lengo la kufanya hivyo ni kulinda status ya familia.Mkuu Lusungo,
Kama walikuwa wapenzi sifikirii ingekuwa rahisi kwa mtuhumiwa kumtuma kaka mtu chakula na wakafanyia uchafu huo hapo ndani, wangeogopa kukutwa na wangetafuta sehemu salama zaidi.
Ila pia kama kijana alikutwa ajitambui huenda aliwekewa madawa kwenye kinywaji hicho, sioni sababu ya yote hayo wafanye kama wangekuwa ni watu wanaoelewana.
Ina sound good.Miaka 29 kwa 32 hakuna kesi hapo ni makubaliano. Hawa ni wapenzi. Ameigiza kuumia kisa kaka yake amejua