Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

Kuna mapunga mengi hupenda kunywa pombe mpaka yazimike ndipo yafanywe. Yaani akiwa mzima anaona vigumu kuzibuliwa, hivyo anatumia pombe na kulewa chakari kabla ya action. Inawezekana huyo jamaa wa boda ni mmojawapo, na kaka yake alishajua hivyo akandaa mtego.
Sasa km ndo hivyo, si waache kusukumwa nyama wanapata raha gani? Lol
 
Mamlaka zinazo ajira haswa kwa nafasi nyeti kama za Mahakimu au Majaji lazima ziwe makini kujua mwenendo wa mtu na tabia yake kabla ya kuajiriwa.
Hii ni hatari kubwa sana.
 
Juzi kinondoni katikati ya studio na mkwajuni mida ya saa sita za usiku. Kwa mara ya Mwanza nikaona wapenzi wa kiume. Walitembea free kabisa wakishikana shikana. Na wakifika kwenye kiza wanapigana denda. Mwanzoni nilidhani ni mtu na mwanamke wake lakin nilipowasogelea zaidi nikaona ni vijana wadogo early 20s na wote ni wanaume na wataonekana washikaji kabisa
Kusema ukweli kuwa uyaone...nilichukua picha kwa kuibiaibia.
Sasa starehe za watu, wee inakuhusu nn? Wee na mpenzi wako nani anawapiga chabo? Na hizo picha unafanyia nn ukishamaliza kutazamaaa?

Ushoga mnaupendaaa eeeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wewe na mwenzako bichwa komwe,mmepata shemela wakili[emoji23][emoji23][emoji23]
Nna mashemeji zangu halisi, ndugu zake na Ba tamuu, huyo hakimu hata hanihusu.

Wako wanaofanya hayo wa mjengoni, ndo ajabu wakili hata yeye ana hisia take [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ina walakini kwasababu aliyehusika ni BENSON, ingekuwa muhusika ni ABDALLAH wala usingeona uwalakini
Mkuu nguvu,

Wewe umeleta udini, ila mimi sipo huko.

Huyo mungu mwenyewe nikikuambia uthibitishe yupo utabaki kuzunguka.
 
Kwako Benson Ngowi,
Nimefuatilia hii taarifa na kuuliza Mahakimu wawili, wanasema hapa kesi hakuna.
Sio rahisi wewe kufungwa.

Naona kuna adhabu umejipa mwenyewe na ni ya milele:
Bila shaka:
una wazazi
una ndugu
Una mke na watoto
una unaofanya nao kazi
uliosoma nao chuo
waumini wenzio wa kanisani na jumuia.
Majirani

Hao wote wanakuonaje?
Je utasingizia pombe?
Je utamsingizia shetani?

Umeacha kidonda kwenye maisha ya vijana wenzio!
Umejiongezea maadui,
Umetengeneza Kisasi, wanaweza kukuacha, wakaja kukutafuta miaka 3 mbeleni huko.
Wazazi, ndugu, jamaa, marafiki, na alio soma nao chuo wana mambo yao pia, hana mda wa kuhangaika nao.
 
Back
Top Bottom