Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

Mmmh
Kwamba alikuywa mpk akazima?
Au alimwekea kitu?
Na km aliofanya hivyo,how come amfungulie kaka mtu kirahisi tu,hakuogopa?
Nina maswali mengi , sielewi [emoji1745]
Na alipomtuma Chakula alidhani atachukua muda gani kurudi? Au alidhani mpaka akirudi atakuwa ameshamrarua marunda!? Na Kama ilikuwa bado kwanini alinfungulia kwa kujiamini mashine ikiwa imesimama?
Au ni mtu wake kitambo tu ila bro ndio ameshtukia dili!?

Walikuwa na mazoea yakwenda kunywa pombe kwa MFIRWA!? Kama sio, imekuaje dogo akubali wakanywe pombe home kwake na mpaka dogo azime .!? Au aliwekewa madawa!? Maswali ni mengi Kama ynavyosema ila kiukweli wanajua wao wenyewe pumbavu Zao... [emoji35]
 
Kwakweli maswali ni mengi mno!
 
Haijalishi amelewa ama hajalewa.
Amenyweshwa ama la !

Ku-fanyanana kinyume cha maumbile, yaani ume na sehemu ya haja kubwa nin kosa la jinai na lina adhabu kubwa.
Sasa wewe unaleta ujuaji wa kwamba aliridhia? acha ujinga wa ki-toto!

Ina maana binti yako wa mdogo wa Sekondari akipata libaba kama Mwijaku ama diamond akanunuliwa simu akaenda kupigwa mashine utasema kama ameridhia ni sawa?
Yess why not? Karidhia na ndo maana kanunuliwa hiyo cm kapokea na katoa uroda kwa mbaba. Unadhani mie nautaka unafiki?

Kulingana na sheria za Tz, Ushoga sio kosa, ikiwa kwa makubaliano, ndo maana Rais alisema wafanye wakubwa kwa wakubwa.
 
Watu wanajua = Unataka Mahakama ianze kuzunguka kwenye nyumba kukagua makalio yenu?

Kuna nchi duniani hata moja tutajie ambayo Mahakama inazunguka kutafuta waalifu!
Hao wa huko mtaani si ndio hao hao mnawatumia kwenye kampeni? Watakamatawaje?
Hao wanaorekodi video za uchi si ndio hao hao mnawatumia kwenye KIDUMU?
Sasa kumbe unajuaa eeeh? Unanipinga nn hapa?
Sioni case hapaa, wachwee waendeleze na mahusiano yao.

Kaka mtu atulize mshono, mdogo ake ni mtu mkubwa sio mtoto. Lol
 
Kwa hiyo Hakimu akamlewesha kijana na kumtuma kaka mtu chakula ili amfanyie ubaradhuli wake.... hii mibakaji na milawiti isingekua inafungwa jela, ingehasiwa na kutobolewa macho
 
Hao ni wapenzi kitambo ndio maana kila sehemu wapo wote
 
Kwa hiyo Hakimu akamlewesha kijana na kumtuma kaka mtu chakula ili amfanyie ubaradhuli wake.... hii mibakaji na milawiti isingekua inafungwa jela, ingehasiwa na kutobolewa macho
29 years old tena nyumbani kwako eti uleweshwe ili ubakwe/ kulawitiwa? Think twice.

Logic inakataa.
 
Attachments

  • 1704044183362.jpg
    1704044183362.jpg
    33.2 KB · Views: 5
Mh,mna lenu jambo sio bule.Hizo ni hila.kwa maelezo yalivyo na kwamba alishawahi kufanya hivyo Karagwe🤔.
Mmemtengenezea zengwe Hakimu huyo,ila uzuri ni mwanasheria sio mnyongwe mtakung'utana mahakamani.
Ila kiufupi,hapo Kuna jambo kingine nyumba ya pazia.

Wakanywe pombe nyumbani Kwa bodaboda.Kwani huyo bodw hana familia?!.

Chumba na sebule,alafu asiwe na familia mmmmm.na kaka yake anaishi wapi mpaka aje aagizwe chakula na Hakimu😜.
Acheni drama,kama ameshikilia kesi yenu au ndugu yenu msimfanyie hivyo.
Mtalipia Kwa swala hilo,ni swala la mda.
 
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi aliyelawitiwa kasema kwenye mahojiano kwamba hii ni mara ya 3 kulawitiwa na Hakimu Ngowi.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] kaaa kwahiyo mzoefu ndiyo maana alikubali kunyweshwa pombe
 
Back
Top Bottom