Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

Linaweza kuwa ni moja kati ya matukio ya nadra kutokea nchini, baada ya Jeshi la Polisi nchini kumtia mbaroni Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Loliondo kwa tuhuma za kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 baada ya kumlewesha pombe.

Mbali na hakimu huyo kushikiliwa na Jeshi la Polisi, lakini jeshi hilo linamshikilia pia mwathirika wa tukio hilo kutokana na msimamo wa sheria unaosema mwanamume anayemruhusu mwanamme mwenzake kumwingilia naye ametenda kosa la jinai.

Mwananchi Digital ilifanya juhudi za kumtafuta Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo kwa njia ya simu lakini haikufanikiwa baada ya simu yake kuita bila kupokelewa.

Akizungumza na Mwananchi Digital, leo Jumamosi Februari 3,2024, Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Kanali Wilson Sakulo, amethibitisha kuwepo kwa tukio hilo ambapo amesema Polisi wanaendelea na uchunguzi.

Taarifa kutoka wilayani humo zinadai kuwa hakimu huyo wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo, anashikiliwa katika kituo cha Polisi cha Loliondo.
 
Hakuna kesi hapo

Guyo kijana kataka mwenyewe na inaelekea ndy michezo yao

Siku hizi watoto wa kiume wanafilana
Sana especially hiki kizaz cha singeli amapiano vijan watoto sahv kutwa kukatika katika mauno ,mnategemea nn hpo

Ovq
Unaposema hakuna kesi unamaana gani mkuu? Kwamba wanaume kuingiliana kinyume na maumbile sio kosa?
 
Sihitaji kusoma mpaka mwisho lakini kijana ni James delicious
 
Huu si ndio ushoga wenyewe? Huyo kijana atakuwa ni shoga. Duh! Kijana anakubali kusokomezewa gogo na mwanaume mwenzake. Huyo hakimu naye ni basha tu, anakulaje mwanaume mwenzake wakati wanawake wapo? Tena wanawake ni watamu kuliko kufukua mfereji wa tope
 
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Justin Masejo alipotafutwa alisema bado hajapata taarifa ila anafuatilia tukio hilo na atatoa taarifa.
Maswali bamejaa mukichwa.
Ni nani alitoa taarifa hii iliyotokea jana usiku kati ya saa tatu na saa nne? Kwenye nyumba ya chumba kimoja na sebule?nna muhimu ya nn kwa taarifa hizi
Kwanini bamekuja wawakili kwanza kabla ya polisi?
baada ya tukio hilo aliamua kutoa taarifa kwa watu mbalimbali ndipo hakimu wenzake na mtuhumiw walifika Eneo la tukio

na baadaye polisi walikuja na kumkuta kijana hajitambui kitandani
Ni vp? Utaratib wa kutoa taarifa ikiwa kamanda ya wapolisi hajatoa taarifa?
Ukisoma taarifa hizi nnaweza kufikiria uchunguzi ushafanyika ukizingatia banajua alikuwa akisafir kwa mubodaboda na banajua umri banajua hakimu anapatikana kwa web na mengine?
Nani ametoa taarifa?
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Justin Masejo alipotafutwa alisema bado hajapata taarifa ila anafuatilia tukio hilo na atatoa taarifa.
Maswali kwa mukichwa ni bado.

hii ni taarifa bamwandishi ya habari?

Tokea muda ya tukio, muda ya kuenda ka muhospito, muda ya taarifa hii kueli banajua?

banamuchalia hakimu kwa mukazi?
 
Na mbegu za kiume pia walipandikiza?Acheni kutetea ubazazi.
Sasa haki ipo mahakani ushawai sikia polisi uchunguzi wao unatoa hukumu moja kwa moja

Ukiangalia ukakasi hata RPC hajui chochote kuhusu io kesi

Jinsi tukio lilivosimuliwa lilivofanyika kizembe wakati mfanyaji ni wakili pia akawa hakimu

Siamin ngoja nisubiri mahakama
 
Very sad
 
sema hii taarifa ina walakini sana.

Huyo hakimu alihamia hivi katibuni?

Kaka mtu akamkuta mdogo mtu akinywa pombe chumbani kwake na huyo hakimu ambaye hakimu huyo anamnunulia? sasa anamnunulia vipi hizo pombe chumbani?

Mbona hii stori inakosa flow
Halafu cha ajabu Mh. Hakimu baada ya kufumwa akaendelea kusubiri hapo hapo hadi mfirwaji alipoamshwa na kukaguliwa na mapolisi wakaja kumkamatia hapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…