Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

Jamaa mbooh imesimama akafungua mlango,,, kaka mtu akaogopa akaenda kuita watu.... Watu wakaja wakamchomoa ndani wakili msomi na akavuliwa shati na suruali akabaki na boxer huku mbooh bado imesimama
Ndo maan nikasema kuna mambo yanafikirisha Uume wa Mwanaume unasimama pale ambapo hakuna Tishio la Hatari..

Kitendo cha mlango kugongwa tu Kipindi wanafanya Nina uhakika 100%
Kama kweli walikuwa wanafnya Uume lazma ungelala "Hili hakuna Ubishi kama ni mwanau.e lazma utaelewa nachokisema"
"Pamoja na Hofu bado uume wake ulikuwa umesimama".....
hii inatia sana mashaka
 
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha .
Hakimu huyo , ambaye pia ni wakili unaweza kumuona kwenye mfumo wa mawakili, ameacha uwakili hivi miaka ya karibuni na kuwa hakimu.

Kwa mujibu wa chanzo cha Habari wilayani humo,tukio hilo limetokea jana majira ya saa tatu na saa nne usiku nyumbani kwa kijana huyo ambaye hufanyakazi ya kuendesha pikipiki maarufu bodaboda katika eneo la Wasso.

Mtoa taarifa alifafanua kwamba Hakimu huyo ambaye hivi karibuni alihamia kikazi,alionekana majira ya mchana akiwa na kijana huyo na baadaye jioni walienda kunywa pombe nyumbani kwa kijana hiyo ambaye ànaishi chumba kimoja na sebule

Alisema ilipofika majira ya usiku kaka yake na kijana aliyelawitiwa (jina linahifadhiwa) alifika katika nyumbani kwa mdogo wake na kumkuta mdogo wake wakiwa na hakimu wakiendelea kunywa pombe aina ya Safari huku hakimu ndiye aliyekuwa akimnunulia kijana hiyo.

Taarifa inasema kwamba majira ya saa tatu usiku Hakimu alimtuma kaka yake na huyo kijana kwenda kuchukua chakula na wakati aliporejea alikuta mlango umefungwa na kuamua kugonga

"Baada ya kugonga Hakimu alienda kufungua mlango lakini chaajabu alionekama sehemu zake za siri zikiwa Imesimama ndipo kaka yake aliposhtuka na kuamua kuingia chumbani kwa mdogo wake kujua kulikoni na kumkuta akiwa amelala kitandani kifudifudi akiwa utupu hajitambui"alisema mtoa taarifa.

Alisema baada ya tukio hilo aliamua kutoa taarifa kwa watu mbalimbali ndipo hakimu wenzake na mtuhumiw walifika Eneo la tukio na baadaye polisi walikuja na kumkuta kijana hajitambui kitandani na baada ya kumwamsha na kuzinduka alihisi maumivu sehemu zake za haja kubwa ndipo askari hao walipomtia nguvuni mtuhumiwa .

Kijana huyo alipelekwa katika hospitali ya Wasso kwa matibabu na taarifa za daktari zimethibitisha kuwepo na michubuko sehemu za haja kubwa pamoja na mbegu za kiume.

Taarifa zinadai kwamba hakimu hiyo alikuwa na mazoea na kijana hiyo kutokana na kumtuma mara kwa mara ikiwemo kumsafirisha kutoka eneo moja kwenda jingine kwa kutumia pikipiki yake .
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Justin Masejo alipotafutwa alisema bado hajapata taarifa ila anafuatilia tukio hilo na atatoa taarifa.
 
Mkuu!
Hapana mimi nitasema hapana..
Hii kitu inatia mashaka sana
Kuanzia ilivyokuwa mpaka ilivyotokea..

  • Swali La kwanza....
Kwanini kaka yake alipofunguliwa Mlango alimuangalia Hakimu moja kwa moja Sehemu zake za siri na sio sehemu nyingine..?

Na alishtuka alipoona sehemu zake za Siri zimesimama na hapo hapo akakimbia kwenda kumuangalia Mdogo wake ..Hii mantiki haiingii akilini Kabisa kipi kilimfanya Yeye ahisi Mdogo wake kafanyiwa kitendo hicho maana Kusimamisha kwa mwnaume Kunaletwa na mambo mengi na sio Lazma kufanya kwanini moja kwa moja amfikirie mdogo wake tena mwenye miaka 29 baada ya kuona hakimh kasimamisha?


  • Swali la 2....
Mtoa taarifa anasema Kuwa yeye ni kaka Yake na yule jamaa (Mlawitiwa) Alikuwa anaishi kwenye chumba kimoja na aliishi peke yake..
Kaka yake hakuwa na Pa kuishi? Alienda kufanya nini Usiku wa Saa tatu nyimbani kwa mdogo wake?


  • Swli la 3
Kumkuta Mdogo wako.kalala Ndani uchi, Na kumkuta Hakimu sebuleni Kasimamisha haisuggest kuwa huenda hakimu Alimfanyie kitu mdogo wake..Labda kama kuna Ushahidi mwingine uliomfanya Yeye kuita watu na kumfanyia ukagusi Mdogo wake..

  • swala la 4
Kuwepo kwa michubuko Haja kubwa pekeee hakujustify kwamba kabakwa au kalawitiwa ..

I Think kuna kitu Beyond Our understanding..
lets Just kukichimba..
Na ili ukipate hicho kitu fatilia Miondoko ya hakimu fatilia Kesi zote alizoamua..

Fuatilia kama Kuna ugomvi wowote aliokuwa nao na jamii fuatilia Kama kuna kesi aliyowahi kuiamua Ilikuwa Against serikali.na akaaendelea kushika misimamo yake fuatilia Tabia zake..
Kama hakuwa na Viashiria vyovyote vya matukio hayo hapo.awali BHASI JIBU NAFIKIRI UNALO
Kwenye shughuli zangu nimewahi dili na kausha damu( mtoza riba asiye na leseni, alikuwa amenyakua almost 18 za mama mmoja mstaafu nadhani Kwa kushirikiana na benki. Kumbe mkubwa mmoja wa Wilayani kausha damu walikuwa wanaripoti kwake. Kilichonikuta kama sikuwa na Ma Godfather, nilikuwa nimeenda!
 
Kwenye shughuli zangu nimewahi dili na kausha damu( mtoza riba asiye na leseni, alikuwa amenyakua almost 18 za mama mmoja mstaafu nadhani Kwa kushirikiana na benki. Kumbe mkubwa mmoja wa Wilayani kausha damu walikuwa wanaripoti kwake. Kilichonikuta kama sikuwa na Ma Godfather, nilikuwa nimeenda!
Katika Kutetea Haki Hakikisha Una Backup..
Na isiwe tu backup iwe na nguvu kiutawala..
Hakikisha kila hatua yako Anajua Taarifa zako (Backup)..
Hakikisha hata kama kitu unahisi ni mtego unampa taarifa kabla ya kuingia..
Dunia ya Sasa ni dunia ya kuviziana sana...

Wanaita "Dog eat Dog" au "Mbwa kala mbwa"
 
Man eat man society.
Katika Kutetea Haki Hakikisha Una Backup..
Na isiwe tu backup iwe na nguvu kiutawala..
Hakikisha kila hatua yako Anajua Taarifa zako (Backup)..
Hakikisha hata kama kitu unahisi ni mtego unampa taarifa kabla ya kuingia..
Dunia ya Sasa ni dunia ya kuviziana sana...

Wanaita "Dog eat Dog" au "Mbwa kala mbwa
 
Asee wachaga hizi tabia mmetoa wapi...,, tulijua ni mambo ya pwani tu....... Ila dah miaka 29 unavuliwa vyeo kisa bia........ Na mangi kasimamisha kabisa kwa tako la mwanaume mwenzie dah ni shida
Yani vitu vya ajabu kabisa
 
Back
Top Bottom