Arusha hivi "vifodi" ni kuchafua jiji achaneni navyo

Vihiace vinaboa

Mtu unajikunjia kwenye gari kama unalima [emoji57][emoji57]
 
Ndii recycling system yao hiyo. Hivyo vigari vinaanzia kwenye makampuni ya Tours kupeleka watalii porini. Vikianza kuleta shida, vinnauzwa na kuingizwa mitaani. Kwa hiyo, itachukua muda mrefu sana kuondoa huo usumbufu.
 
truely sp truly speaking, japo naishi Arusha lkn ni jiji la kishamba sana linapokuja swala la usafiri wa umma, vipanya tena vipank everywhere. Ni vigumu kuelewa kwa sifa za Arusha na hali halisi ya usafiri.
 
Nimekaa chuga kwa zaidi ya miaka mitatu na nimejifunza tu kuwa kwa sasa chuga haiwezi kuhama kutoka matumizi ya vfod na kuanza kutumia costa kutokana na sababu mbalimbali kama vile
Mji umejifunga sana sehemu moja na ndio unatanuka
Mfano mtu anaweza akatembea kuanzia mwanzo wa ruti mpaka mwisho wake kwa dk 25 tu...... Chukulia ruti hiziii...Soko kuu mpaka moshono chekereni, soko kuu mpaka sokomjinga nafikir pia panaitwa engo sengeu au ruti ya soko kuu mpaka kijenge juu... Yani ruti ndefu ni zile za kutoka nje ya mji kabisa kama soko kuu kwenda usa river,,,kiufupi bado sana kutumia costa
, watu sio wengi sana maana hata hvo vfod mpaka vijaze vinaitia sana abiria kwa muda mtefu so ukiweka costa biashara itakua ngumu sana.
Pia watu wengi chuga wana usafiri binafsi na wengi wana ndinga za maana
Kuna mdau juu kaponda et kuitwa Geneva ni kujidanganya... Friend lile jiji ni location tamu sana ya utulivu na n la kuponda mali sanaaaa
 
Yaani wewe kukaa Chuga miaka 3 ndio ubishane na mzawa?Haina paringi arifu.

Aisee chalaa angu hebu kula ngusu Kwanza hapo,afu rudi Tena hapa Ila kitu cha makushabu usiguse.

Iandikie hioooo.
 
Yaani wewe kukaa Chuga miaka 3 ndio ubishane na mzawa?Haina paringi arifu.

Aisee chalaa angu hebu kula ngusu Kwanza hapo,afu rudi Tena hapa Ila kitu cha makushabu usiguse.

Iandikie hioooo.
[emoji2][emoji2][emoji2] akikujibu nitag
 
Hizo gari ni uchafu.

Watu wanatembea kwasababu mji ni mdogo sana.

Watu wengi wanakaa maeneo hayohayo karibu na town.
 
Hizo gari ni uchafu.

Watu wanatembea kwasababu mji ni mdogo sana.

Watu wengi wanakaa maeneo hayohayo karibu na town.
That's the point sasa kibiashara ukiweka coaster aisee itakuwa loss tupu kumbuka hizo hiace nyingi ni zile zenye four wheel ambazo ni shark ni ngumu sana kwa mazingira ya chuga zinafaa ukileta hiace ya kawaida lazima ilale ndani ya miezi sita.
 
Kisa?
 
Hali ya barabara kwa baadhi ya maeneo sio nzuri. Let's be honest. Let's say route ya stendi kuu to ilboru via mianzini like juu ni kubovu Hadi ilkiding'a ulisema unapeleka gari laini ujue imekula kwako
 
Mbovu kuliko Kimara-bonyokwa?

Vipi kuhusu nje ya mjini?

Town-Tengeru-USA-maji ya chai -kikatiti
Bado wanahitaji vile vidude vya kujikunjia?

Ukweli ni nyumbani kwetu ila kila nikifikiria usafiri inaboa:
 
Mwanza itabaki kua juu
 
Pimped wapi mzee acha uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…