Arusha: Hukumu ya kesi inayomkabili Lengai Ole Sabaya imeahirishwa hadi Oktoba 15, 2021

Atapigwa kitu kikubwa makusudi ili akakikatie rufaa baadae alafu anashinda rufaa anatoka "mark my words"
 
Kwa hiyo leo/kesho anaanza kuvaa Orange na kukabidhiwa jembe na shoka kwa kazi mbalimbali za kujenga nchi? Kweli maisha ni kama Pumb za mbuzi...
 
Dogo aliyavamia maisha kichwa kichwa sana, yeye na Mwenzake Bashite! Mwenzao Hapi alikuwa na maneno ya shombo tu, lakini hajawahi kujiingiza kwenye hulka za kuwafanyia watu umafia!! Nashangaa kwa nini watu waliofanyiwa umafia, kudhulumiwa, na kudhalilishwa na Bashite hawachukui initiatives binafsi kwenda kumshtaki, siyo kila kitu kusubiri serikali ifanye
 
Hakosi 15 years in jeil

Wakati wa mahakama kutenda haki ndio sasa
Na akatendewe kama anavyostahili
 
Mambo ni mengi na yananda kasi. Hivi huyu jamaa alishapatikana na kesi ya kujibu na amemaliza utetezi wake? Sijawahi kumsikia akijitetea.
 
Idugunde naomba tuonane haraka hapo nje ya mahakama, ili kupanga mikakati kabambe ya kumtorosha Jenerali wetu mara tu baada ya hukumu kutolewa.
 
Duu! MaRC. DC na MaDED wasipopata darasa hapa kwa Sabaya basi hakuna pa kujifunzia! Nimemuona yule jamaa aliyekuwa RC pale Iringa ambapo alikuwa akiita vyombo vya habari kisha kuwakaripia na kuwadhalilisha wapinzani tena wanaomzidi umri kwa mbali sana, sasa hivi kakoma kabisa! Ni mmoja wa watu wanaomshukuru Mungu mpaka leo kuendelea na cheo hiko!
 
Tuiache Mahakama ifanye kazi yake. Pia sheria ifuate mkondo wake.
 
Ooh, kumbe maamuzi ni leo..?

Bila kujali hukumu itakuwaje, lakini baada tu ya hiyo ya Arusha kumalizika, Moshi na Hai huku Kilimanjaro anasubiriwa kupanda kizimbani pia kwa makosa aliyoyafanya...

Si mnakumbuka uvamizi wa hotel kadhaa ikiwemo ya Freeman Mbowe - Aishi Protea? Na ya yule mfanyabiashara akamalazimisha ampe 10,000,000..?

Si tunakumbuka na picha/video za CCTV CAMERA zilimnasa akifanya uhalifu huo tena akitumia magari yenye plate number za kibalozi na UN mpaka ofisi ya UN Tanzania wakajitokeza kulaani "brand" ya UN kutumika kwa uhalifu...?

Kote huko madai yake ni yaleyale, kufanya OPERESHENI YA KUKUSANYA MAPATO YA TRA utadhani yeye kawa TRA mkusanya mapato ya serikali..!

This was absurdity and absolute abuse of power. Lazima awajibike kwa matendo yake mabaya...
 
Yule jamaa aliyemgongelea misumari kwenye mguu na wale watoto alowakata masikio sijaaikia kesi yao
 
ni kweli kabisa...
 
tuishi kwa na kutenda kwa kutumia akili zaidi kuliko kuendekeza utashi kwenye kutenda end of the day tutakuwa na mwisho mbaya
 
ala huyu jambaz wa mwendazake hukumu yake ni leo kumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…