Arusha: Hukumu ya kesi inayomkabili Lengai Ole Sabaya imeahirishwa hadi Oktoba 15, 2021

Duh[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwanini lakini baadhi yenu mnatumia neno H mbele ?
Inakera kwa mtu anaejua kusoma na kuandika halafu unaandika kwa makusudi kabisa

Au ni lugha mpya
uko sahihi ila na wewe ukiwa kama msomi ungeelezea unamaanisha nini Kuongezea H mbele kwa maneno yapi with reference to maandishi ya muanzisha mada.
Nina uhakika kuna watu hawatakuelewa unataka umaanishe nini
 
Mtaani atakutana na wakina kingai
 
Kesi ya Unyang'anyi kwa kutumia silaha iliyokuwa inamkabili Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili Daniel Mbura na Sylivester Nyegu imeahirishwa mpaka Oktoba 15, 2021.
 
Wanajadiliana namna ya kesi ya Mbowe awe upande wa Jamhuri maana akifungwa atamtetea Mbowe
 
uko sahihi ila na wewe ukiwa kama msomi ungeelezea unamaanisha nini Kuongezea H mbele kwa maneno yapi with reference to maandishi ya muanzisha mada.
Nina uhakika kuna watu hawatakuelewa unataka umaanishe nini

Kichwa cha habari na habari yenyewe imebadilishwa kabisa
Najua hawatanielewa kwa sababu nilijibu kwenye uzi ulioandikwa na mtu tofauti na huyu
Mods wamebadilisha
 
Hukumu zitabaki kwa wanyonge, hao knge wanaendelea kupakana mafuta
 
Bado ana week 2 zaidi za KUNYEA NDOO
 
Nadhani Mahakama inasubiri Maelekezo toka ngazi za juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…