Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Kuna mawili hapa inawezekana system imemu eliminate au kuna watu aliwafanyia ubazaz wamelipiza,hyo ni kawaida
Unaweza ukawa namba msumbufu system inakuchoka

Ova
 
Rekodi zake si zinajulikana ina maana watoto walikuwa hawajui mishe za mshuwa wao

Ova
 
Mtu ushapewa onyo mara kwa mara ila bado unajifanya mbabe na mkaidi lazima ushughulikiwe. Miaka ya 05-10 wababe wengi na mamafia wengi walipigwa onyo na biti, kama walikaidi walishughulikiwa. Hata huyu ni ukaidi wake, ila alishaonywa sana.
 
You callin' yourself B'REAL but you aint real nikkah...those Mfc*kers were criminals,deadly criminals...nyoosha nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi
 
😭 R.I.P
Baada ya kusambaa taarifa za kupotea kwa Mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha, Abdilah Musa maarufu kama Banjo, mkazi wa Sanawari, hatimaye mwili wake umekutwa katika eneo la Bereko wilayani Kondoa mkoani Dodoma ukiwa umeharibika.

Kwa mujibu wa mtoto wake Mussa Abdilah amesema kuwa walipigiwa simu kwamba kuna mwili umekutwa pembezoni mwa barabara maeneo ya Bereko Kondoa na wamefika na kuona mwili huo na kuthibitidha ni baba yao, akiwa ametobolewa macho na kuvunjwa mikono.

Banjo anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana February 12 jioni akitoka mazoezi katika "gym" iliyopo eneo la jengo la Ngorongoro. Walikuja watu wakamchukua na kuondoka naye. Ndugu zake walimtafuta bila mafanikio hadi leo mwili wake ulipopatikana huko Kondoa ukiwa umetobolewa macho na kuvunjwa mikono
 

Attachments

  • 1771504331373.jpg
    180.9 KB · Views: 26
Pia soma
 
Kumbe alikuwa jambazi sugu tangu miaka ya 2013!!? Naye siku zakezimefika kama alivyowauwa binadamu wenzake. Poleni wafiwa!
 
2013 jamaa alileta uzi wa ujambazi-2026 jambazi kafa..

Kila kitu wewe kipe muda tu.
 
Apumzike kwa amani,
Kama ni mfanisi katika Bereta. Huwenda hata yeye hakua na kazi mbovu. Bereta ikitua kwenye ndonga watu hawakuangalii marambili.
Bereta ni bunduki bablay...huyu ameua sanaaa...namshangaa wanaharakat eti wanamlilia. Wanajua historia yake huyu jambazi??
Aisee wale kina maria kumbe ni vichaa sana ...Yani huyu muuaji wanamlilia??
 
Banjoo amebaka wanawake na wake za watu sana tu kisa kuogopwa, kilichotokea Leo ni maandiko yametimia ua kwa upanga ufe kwa upanga.

Nilipoona kuna uzi wake wa zamani sana umefufuliwa nikajua kuna jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…