Kumbe dogo anamiliki chuma!1KUNA TAARIFA ZIMEZAGAA MGOMBEA UDIWANI WA CCM
DDOGOJANJA AMEMPIGA RISASI MWANAFUNZI WA FORM 4 AKIMTUHUMU MWIZI
JESHI LA POLISI LIMEKIRI KUPOKEA HIO KESI NA LINAFWATILIA
TUNAOMBA CCM ARUSHA WAKATI UCHUNGUZI UKIENDELEA HUYU DOGO AONDOLEWE KABISA HAFAI KUGOMBEA HATA SERKL ZA MITAA
VYEMA TUKAMWACHIA HUU MSALA AMALIZANE NAO YEYE BINAFSI NA TUNAOMBA TUSIINGIZE SIASA KWENYE UCHUNGUZI
HILI JAMBO LUNAFWATILIWA KULIKO TUNAVYOLIJUA
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
KIDUMU DAIMA
5TENA
Maskini ukiwa CCM hata baiskeli ukipewa unaona maisha umeyapatiaWatu wanapambana kuacha wealth generation wewe unakaa katika fikra za kimasikini
We ni mwizi?CCM
IHUYU DOGO AMECHAFUA CHAMA CHETU
HAFAI KUWA DIWANI PLS
MWONDOEN HARAKA
weka in short historia ya huyo dogo...ni nani anatokea wapi, anafanya kazi gani, pistol aliipataje etc etcSitaongea mengi lakini huyu Teja dogo janja ambaye ni kada wa CCM na amepitishwa kugombea udiwani huko Arusha ni kama ameanza kuwa na kiburi na kulewa Madaraka madogo ambayo anafikiri kuwa tayari anayo lakini kimsingi bado hajayapata,na hata akiyapata ni madogo sana siyo kwa sifa hizi.
Anapita mule mule kama vile wakubwa zake wanavyoteka na kuua watanganyika Kwa maslahi yao na yeye ameanza kutandika risasi watanganyika wenzake bila kujali lolote Wala yeyote.
Tazama video hapo chini
SawaMaskini ukiwa CCM hata baiskeli ukipewa unaona maisha umeyapatia
Tumefika pabaya sana, kiongozi mdogo anajifunza Kwa viongozi wakubwaSi mlisema alipigiwa debe na kihongosi? Bado atabaki na makonda, hawa mambo ya marisasi ni kawaida kwao
Ni mwanamtandao mdogo anayeandaliwa kuwa mwanamtandao mkubwa hapo baadaeweka in short historia ya huyo dogo...ni nani anatokea wapi, anafanya kazi gani, pistol aliipataje etc etc
Ndo Diwani mtarajiwa huyo....Za ndani zinasema chanzo ni mwanamke,.