Kosa sio hilo mkuu. Kosa ni kutumia maana kinzani, kuwa sober ni kutokuwa na kilevi. Pale ulisema maana mbili.Kumradhi Mkuu 🙌
Naona nimetumia Lugha mbili Kwa jambo moja
Shukrani Kwa masahisho MkuuKosa sio hilo mkuu. Kosa ni kutumia maana kinzani, kuwa sober ni kutokuwa na kilevi. Pale ulisema maana mbili.
Polis mlimpa silaha Kwa kigezo kipi?Polisi wafanya Uchunguzi kuhusiana na tukio la mtu mmoja kujeruhiwa na risasi.
Jeshi la Polisi mkoani Arusha linafanya uchunguzi kuhusiana na tukio la mtu mmoja aitwaye Bakari Halifa Daud (18) mkazi wa Sombetini Jijini Arusha kujeruhiwa kwa kupigwa risasi mguuni.
Akitoa taarifa hiyo leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine Masejo amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa tukio hilo lilitokea Agosti 23, 2025 muda wa saa 5:30 usiku huko katika maeneo ya Sombetini Jijini Arusha.
Kamanda Masejo ameendelea kufafanua kuwa wakati Abdulaziz Abubakari (30) mkazi wa Levolosi Jijini Arusha akiwa anashuka kwenye gari alidai kutaka kuvamiwa na Bakari Halifa akiwa na mwenzake kwa kutumia silaha ya jadi hali iliyopelekea kutumia silaha aliyokuwa nayo.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu wawili kuhusiana na tukio hilo ambapo limesema bado linaendelea na uchunguzi.
Shida kweli kweli hapo mitutu nje njehuyu dogo janja ni katoto kadogo tu kamemaliza la saba juzijuzi kakaonekana kana kipaji cha muziki wakakaingiza huko tip top connection kakapata umaarufu. Sijui nani amekatumbukizia kwenye siasa ndio katagombea udiwani. Ni mapema kameanza vitendo vya siasa za kihuni za kina makonda, sasa kama kana mpinzani hapo katani huyo mpinzani si atapata shida?
Za ndaaani..Bashiteana backing ya mkubwa gani?
Sio kweli. Dogo janja ni kapumbavu. Bado kadogo. Hilo jukumu wanalitaka kumpa kubwa sana kwake. Ipatikane justice kwa alipigwa risasi. Hakuwa kibakaHayo mengine ya binadamu wewe ulitakaje wamuue na mapanga kwanza bila kujitetea ndio ufurahie? Tuweke siasa pembeni tuangalie ubinadamu haijalishi anafanya shughuli gani hata mimi unanivamia na silaha za jadi nna cha moto lazima nikuweke tena nafumua mapumbu hayo kumfumua miguu kamsaidia sana atasema kwanini alimvamia
Hayo siyo matumizi sahihi ya silaha ya moto angeweza kupiga risasi juu Ili kumtisha huyo aliyemuita kuwa ni kibaka nadhani ingekuwa poa zaidiIli mradi hamjamuua..mjeruhiwa ataongea ukweli.
Ili mradi hajamvunja uti wa mgongo ,dogo atatembea vizuri tu.
Kikubwa haki itendeke ..kibaka/mwizi/tapeli/jambazi hachaguliwi silaha ya kupigiwa.
Nizidiwe akili na huyo ******? 😂😂😂😂😂🍺🍺🍺🍺🍺Nyie mna chuki binafsi na kijana akiyewazidi akili na maendeleo
Sitaongea mengi lakini huyu Teja dogo janja ambaye ni kada wa CCM na amepitishwa kugombea udiwani huko Arusha ni kama ameanza kuwa na kiburi na kulewa Madaraka madogo ambayo anafikiri kuwa tayari anayo lakini kimsingi bado hajayapata,na hata akiyapata ni madogo sana siyo kwa sifa hizi.
Anapita mule mule kama vile wakubwa zake wanavyoteka na kuua watanganyika Kwa maslahi yao na yeye ameanza kutandika risasi watanganyika wenzake bila kujali lolote Wala yeyote.
Tazama video hapo chini
Ona hii kenge, tofauti kati ya ubongo wako na mavi ni joto tuDada una haki ya kulia, tena lia sana.
Mpaka 2030, mtapukutika wengi sana.
#Jezebel huko kazini