Arusha: Jeshi la Polisi lasema linafuatilia tukio la msanii Dogo Janja kumjeruhi Mtu kwa kumpiga risasi

Arusha: Jeshi la Polisi lasema linafuatilia tukio la msanii Dogo Janja kumjeruhi Mtu kwa kumpiga risasi

Sio rahisi muafrica ku pull the trigger bila sababu maalum kama wamarekani weusi lazima kuna sababu ilimfanya kufanya hivyo tusilaumu tu bila kujua
 
Sitaongea mengi lakini huyu Teja dogo janja ambaye ni kada wa CCM na amepitishwa kugombea udiwani huko Arusha ni kama ameanza kuwa na kiburi na kulewa Madaraka madogo ambayo anafikiri kuwa tayari anayo lakini kimsingi bado hajayapata,na hata akiyapata ni madogo sana siyo kwa sifa hizi.

Anapita mule mule kama vile wakubwa zake wanavyoteka na kuua watanganyika Kwa maslahi yao na yeye ameanza kutandika risasi watanganyika wenzake bila kujali lolote Wala yeyote.
Tazama video hapo chini
Ubungee si atatuuliaaaa watoto wotee arushaa aisee
 
Sitaongea mengi lakini huyu Teja dogo janja ambaye ni kada wa CCM na amepitishwa kugombea udiwani huko Arusha ni kama ameanza kuwa na kiburi na kulewa Madaraka madogo ambayo anafikiri kuwa tayari anayo lakini kimsingi bado hajayapata,na hata akiyapata ni madogo sana siyo kwa sifa hizi.

Anapita mule mule kama vile wakubwa zake wanavyoteka na kuua watanganyika Kwa maslahi yao na yeye ameanza kutandika risasi watanganyika wenzake bila kujali lolote Wala yeyote.
Tazama video hapo chini
ARUSHA — Uchunguzi wa awali wa jeshi la polisi kuhusu tukio la Mgombea Udiwani kata ya Ngarenaro (CCM) Abdulaziz Abubakari Chande “Dogo Janja” kumshambulia kwa risasi Bakari Halifa Daudi (18) huko sombetini jijini Arusha umebaini kuwa mtuhumiwa alikuwa akijihami.

Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, SACP Justine Masejo zimesema kuwa tukio hilo lililotokea Agosti 23 majira ya saa 5:30 usiku lilihusisha bakari kujeruhiwa kwa risasi mguuni.

“Kwa mujibu wa uchunguzi wa awali, wakati Abdulaziz, mkazi wa Levolosi, alipokuwa akishuka kwenye gari, alidai kutaka kuvamiwa na Bakari akiwa na mwenzake wakiwa na silaha ya jadi. Hali hiyo ilisababisha mtuhumiwa huyo kutumia silaha aliyokuwa nayo na kumpiga risasi Bakari,” imesema taarifa ya polisi.

Hata hivyo, polisi mkoani Arusha wamewakamata watu wawili kuhusiana na tukio hilo na wamesema uchunguzi zaidi unaendelea.

#HabarileoUPDATES
#UjanjanikupigaKura

Aiseee

Ukisoma huu means waliokamatwa sio dogo janja mrusha risasi aisee
 
Sitaongea mengi lakini huyu Teja dogo janja ambaye ni kada wa CCM na amepitishwa kugombea udiwani huko Arusha ni kama ameanza kuwa na kiburi na kulewa Madaraka madogo ambayo anafikiri kuwa tayari anayo lakini kimsingi bado hajayapata,na hata akiyapata ni madogo sana siyo kwa sifa hizi.

Anapita mule mule kama vile wakubwa zake wanavyoteka na kuua watanganyika Kwa maslahi yao na yeye ameanza kutandika risasi watanganyika wenzake bila kujali lolote Wala yeyote.
Tazama video hapo chini
Huyu dogo janja ni kawaida yake hyo bastola alimtishia pia rafiki yang mwaka 2019 bila sababu za msingi yaan kwa kifupi chizi kapewa rungu, kwa historia ya huyo kijana sioni km ana vigezo vya uongozi
 
Kwahiyo ulitaka akubali kukabwa aporwe hadi hiyo pistol aliyonayo kisa ni anagombea udiwani? Shubamit
 
Kuna Mada Zinaanzishwa Unatamani Kumtukana Mtoa Mada,ila Unamsitiri Tu.
 
Suala siyo kuona mwisho, suala ni wewe kudai polisi kufanya uchunguzi ni kutaka kumzima polepole
Kiki zipo nyingi kwasasa ambazo ni feki kama ACT na CHAUMWA! inaangaliwa ipi itaenda viral watembee nayo
 
Kiki zipo nyingi kwasasa ambazo ni feki kama ACT na CHAUMWA! inaangaliwa ipi itaenda viral watembee nayo
Ila kuhusu rostam na mwadui bwana polepole kadanganya,kwa hili, huenda kadanganya mengi
 
CCM

IHUYU DOGO AMECHAFUA CHAMA CHETU

HAFAI KUWA DIWANI PLS

MWONDOEN HARAKA
Kuna mwingine alikamatwa na shehena ya madawa ya kulevya nae anagombea huko kata ya levolosi. CCM be serious na hawa watu mnaotuchagulia waje watuongoze
 
Ni kweli,ila nimeshangaa matumizi ya silaha ya moto dhidi ya kibaka, kwanini hakupiga hewani Ili kumtisha kwamba ukija kizembe nakumwaga ubongo?

Hujawahi kuwa na silaha ndoaana huelewi, wakikujia watu wa 4 na mapanga????? Ile Hali unayokuwa nayo siyo kama ulivyokaa nyuma ya keyboard na ku type!

Ujuaji mwingi sana!
 
Nionyeshe picha Dogo Janja Hajavaa sweta Kiufupi ndiye diwani aliyekonda kuliko wote
 
Abdulaziz yuko sahihi watu wanatekwa hovyohovyo kwenye hii Nchi.
 
Dogo janja ameweka heshima, kwanza kutoa miguu wa kuku na kumfyatua huyo kibaka.
Yaani nitekww na wahuni, na huku Nina miguu wa kuku, mbona mingewamwaga ubongo kama 3
 
Back
Top Bottom