Arusha: Jeshi la Polisi lasema linafuatilia tukio la msanii Dogo Janja kumjeruhi Mtu kwa kumpiga risasi

Arusha: Jeshi la Polisi lasema linafuatilia tukio la msanii Dogo Janja kumjeruhi Mtu kwa kumpiga risasi

inageuzwa kuwa traffic case dogo janja ataambiwa kamtibu jeraha basi.....
 
Uyo Dogo kumiliki iyo kitu itakuwa janga kwake !!!

ninacho kiamini kwakuwa Dogo Ajauwa mtu !!
pengine Polisi watamsaidia kumaliza ile kesi lkn Wanamnyang,anya ile kitu.. %100
 
Bado hawajamkamata na mirungi
Arusha inatisha sana sasa hivi. Kama ni mgeni Arusha au hata kama uliwahi kufika Arusha miaka ya nyuma basi nakushauri tu ukienda sasa hivi usiende kwa mazoea bali tafuta mwenyeji akuelekeze vizuri sehemu gani za kutembea na sehemu gani usitembelee kabisa. Kuna matukio ya uhalifu ya hovyo sana na ya hatari. Mbaya zaidi baadhi ya viongozi badala ya kupambana nayo wao kwa kutaka sifa wanajikuta wanayapromoti kwa kujua au bila kujua kwa vitendo vyao vya kuwakumbatia hao vijana wanojiita "wadudu".

Kwa kasi ya uhalifu unavyoongezeka Arusha serikali isipochukuwa hatua kali hata sekta ya utalii itaathirika muda mfupi ujao. Serikali ya mkoa wa Arusha kuanzia mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya na wakuu wa vyombo vya usalama hapo Arusha wanatakiwa wawe watu walionyooka na walio na maono ya pamoja ambao wataweka siasa pembeni kabisa ili kufuta hao wadudu. Vinginevyo muda sio mrefu hao wadudu wakiendelea kuachwa watakomaa na kuanza kuunda magenge makubwa ya uhalifu itakuwa ngumu sana kuwadhibiti. Na kama iliwezekana kuwafuta panya road Dar na basi inawezekana kuwafuta hao wadudu hapo Arusha vizuri japo kazi kubwa itakuwa kwenye kuwajua ni wakina nani watu wema na wakina nani ni vibaka katikati ya kundi kubwa la wadudu.

Ni mtizamo tu.
Hao wadudu si ndio makonda anawafadhili au?
 
Dogo kaweka heshima,kama kweli alitaka kuvamiwa akaitoa.
dada wa kibaka anasema alimtuma mdogo wake kuazima kisu cha kukatia nyama saa tano usiku akakurupushwa na milio ya risasi, dogo kaweka heshima mtaani nahivi ni mgombea udiwani apewe na u meyer wa arusha kabisa
 
dada wa kibaka akihojiwa na waandishi
 
Mimi ningekuwa Dogo janja nisingempiga ya mguu ningempiga ya MATAKO halafu nikae pembeni nicheke 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom