Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Unawajua wadudu a.k.a nyokaaa wanakuua hivi hivi unaonaMkuu sitaeleza Kila kitu ila watu tunakutana na mazingira pengine kuliko haya ya dogo janja lakini bado tunajitahidi ku handle situation Sasa ukisema Kila anayetaka kukuibia umfyatulie risasi mwilini utaua wangapi? Kuna mbinu za kupambana na mhalifu ambaye Hana silaha ya moto ikiwa wewe unayo