Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
DAB imfikie kwenye file aionePicha hiyo ikutafakarishe mtu yeyote utakayeiona.
Tambua ya kuwa nafasi uliyonayo ni ya muda tu. Hata kama utaishikilia mpaka mwisho wa uhai wako, ipo mahali utalipwa kutokana na matendo yako.
Busara zikuongoze utende haki na muombe Mungu akusimamie.
Majivuni na ukatili hayana lolote bora la kulipalilia.
Jana ulikuwa ukiwaamuru polisi na kukupigia salute, leo wanakupigisha magoti na pingu mkononi.
Haya advice taken.Hoja yako ni dhaifu saana sana! Bora ukae kimya
Matendo yepi hayo?Jinamizi linalomuandama ni matendo yake mwenyewe.
Vijana gani hao? Lini? na ilikuwaje?nenda hai utapata wengi wenye makovu ya kutendewa na huyu ubwa aliteka vijana wadogo kabisa akaenda kufanyia unyama Arusha huyu Mungu hamuachi sio suala la serekali
CCM yetu haiwaenzi wabakaji, pengine ile CCM ya Bashiru na Mwendazake!Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Bado wewe hii awamu haicheki na majambazi. Iyena iyena tupa kuleee hapa ni Haki tuHahahaaaa...... Chadema mnashangilia kama mmeshinda ubunge vile!
Tunaposema mwendazake alikuwa dikteta uchwara mtuelewe jamaniIna maana Magufuli angekuwa bado anaishi, sabaya angekuwa bado mkuu wa wilaya!
Ama kweli, kua uyaone😕
Wasitengenezewe mazingira ya kudhalilishana.
Hahahaaaa......!Bado wewe hii awamu haicheki na majambazi. Iyena iyena tupa kuleee hapa ni Haki tu
Matendo yepi hayo?
Hebu yataje tuyaone!
Na ushahidi tafadhali...
Maana nyie majasusi wa mitandaoni mko na habari nyingi sana! Tushirikishane.
Mkuu Mungu akubariki kwa hilo Neno jema.Picha hiyo ikutafakarishe mtu yeyote utakayeiona.
Tambua ya kuwa nafasi uliyonayo ni ya muda tu. Hata kama utaishikilia mpaka mwisho wa uhai wako, ipo mahali utalipwa kutokana na matendo yako.
Busara zikuongoze utende haki na muombe Mungu akusimamie.
Majivuni na ukatili hayana lolote bora la kulipalilia.
Jana ulikuwa ukiwaamuru polisi na kukupigia salute, leo wanakupigisha magoti na pingu mkononi.
Na wewe pia ni jasusi wa huko Tanganyika?nenda gereza la kisongo atakuambia shida yake ni nini.
Tecnolojia imekua usitake kutavuniwa kila kituAlifanya ugaidi upi?
Any available evidence please?
Kwako Ubunge unaona kitu cha maana sana sio?Hahahaaaa...... Chadema mnashangilia kama mmeshinda ubunge vile!
Wewe haukuwa miongoni mwa wale majasusi wa twirrah?Mkuu unatuonea, sisi JF siyo tiomkamata wala kumpeleka mahakamani.
Na sisi hatujui kama wewe tu.