Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Wapi Bashite...usitoroke tu[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
We mdada hebu acha uchochezi, acha kunichongea kwa Ma Samia bana, mi si nlishatumbuliwa kitambo na marehemu. Hapa nlipo nipo mtaani sina mchongo kama chawa, kupumua kwe jeki, kuhema kwa pampu.
Huyu akipelekwa Segerea watamgawana huko. Akitoka atakua na hips kubwa kuliko hata witnessj .[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duh! Ila hii ndio njia nzuri ya kujenga vijana jeuri. Vijana waoga ndio hutii kila amri lakini sasa vijana watajifunza kuwa kuna matokeo kwenye kila anachofanya. Vijana wote, bila kujali vyama lazima uwe na mipaka badala ya kufikiri yupo mtu atakulinda daima.
 
Kuna watu unaweza kukuta huko makazini kwao nao pia wanapiga hela ambazo sio za halali au hata kudhulumu watu ila na wao wapo kwenye hii thd wakishangilia mwenzao kupatikana na misuko suko!


Kila mtu ajitizame,je yeye ni msafi? Kabla ya kumnyooshea mwenzako kidole hakikisha kwanza wewe vidole vyako ni visafi.

Kila mtu atavuna anacho panda,kama sio hapa Duniani basi ni mbinguni siku ya hukumu.
 

Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…