Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Mbona kakonda kwa ghafla mno, hakika maisha ya uovu mwisho ni fedheha. Angekuwa mtu wa kutenda hakika hakika Mungu angemfungulia njia zaidi na kupewa hata ukuu wa mkoa.

Ona sasa na yeye leo anapiga goti kwa vikosi kazi alivyokuwa anaviongoza kupora mali za wafanyabiashara hapo arusha .
 
Hata hivyo Mbowe siyo mbunge wa Hai tena.
 
Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Uhalifu ni upiganaji?
 
Hii Kuchuchumaa pia ipo kwenye sheria ?

Sio kwamba namtetea jamaa ila two wrongs does not make a right...., Huyu Jamaa adhibitiwe na kuhukumiwa kisheria na ikibainika sio tu kwamba achuchumae hata kama sheria inasema apigwe bakora na apigwe..., ila kabla ya hapo nadhani hii ni wrong precedent
Ulitaka apewe sofa akalie
 
Hayo mashtaka yake sipati picha.

1. Kubaka.
2. Kudhuru mwili (shambulio yule diwani)
3. Kulawiti.
4. Unlawful trespass (Aishi Hotel)
5. Kufanya vurugu kwenye hoteli kule Machame.
6. Madai- Kula,kunywa, na kulala hotelini bila kulipa, saloon, maduka ya nguo, n.k
7. Kulazimisha kulipwa pesa kwasababu ya cheo/nafasi yake.

Kuliko asubiri siku ya hukumu bora aombe Mungu amchukue.
 
Back
Top Bottom