Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Mlishangilia sana kipindi cha Mwendazake sasa Kazi imeesnza.....Duh! Ila hii ndio njia nzuri ya kujenga vijana jeuri. Vijana waoga ndio hutii kila amri lakini sasa vijana watajifunza kuwa kuna matokeo kwenye kila anachofanya. Vijana wote, bila kujali vyama lazima uwe na mipaka badala ya kufikiri yupo mtu atakulinda daima.