Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Ndugu, fahamu kwamba Sabaya ndiyo alikuwa main engine ya kumng'oa Mbowe pale Hai. Mbowe ni mwenyekiti wa chama chenye wafuasi wengi mitandaoni.
Hivyo basi Sabaya amekuwa adui na kuchukiwa na wengi sababu tu ya kumwangusha Mbowe. Hilo liliwauma sana CHADEMA na ndiyo maana wanamchukia Sabaya.
 
Rubbish
 
Hata seth ,rugemalila wazee wa uhamsho mahakama bado haithibitisha kama Wana makosa.
Hivyo sabaya nae atakaa tu hadi ithibitishwe
 
Duuh,kwahiyo anaenda kurusha zake ndege hapo kisongo siyo?

Bingo Sana Rubani Sabaya,leo naona uhalisia wa lile chozi lako la jicho moja kwenye mazishi ya mwendazake kule chato
 
Duuh,kwahiyo anaenda kurusha zake ndege hapo kisongo siyo?

Bingo Sana Rubani Sabaya,leo naona uhalisia wa lile chozi lako la jicho moja kwenye mazishi ya mwendazake kule chato
Sawaya keshakua mzoefu pale Kisongo. Keshapata walinzi na mabausa yakumlinda dhidi ya wahuni wa pale.
Ameshaanza ukiherehere.
(Kiherehere Ni naibu nyapara)
 
Mnaofanya utetezi wa Ole Sabaya kumbukeni hajakamatwa na kushtakiwa peke yake. Mabaunsa wake, vijana wenzake watano waliokuwa wanamlinda kikamilifu na kushirikiana naye katika kazi zake za kila siku nao wamekamatwa na kushtakiwa pamoja naye.Hao nao wanategemea utetezi wenu.

Chondechonde watetezi, msiwasahau hao vijana watano muhimu kwake Ole Sabaya ambao kwa pamoja waliweza kufanikisha mengi mkoani Kilimanjaro na Arusha.
 
Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama wilaya anayetumia mabaunsa kufanya kazi za serikali.
 
Sasa hivi hao mabaunsa wanajuta ,mpaka watoke huko wamekuwa wazee hizo nguvu wangetumia kwenye kubeba zege.

Sabaya alipokuwa clouds alikuwa na kitambi Sasa hivi week moja tu tayari kitambi imetoka
 
Boss wao sijui naye tayari au Malaika mwendesha mashtaka bado hajafika?
 
Mengi waliyofanikisha ni yapi kwa mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…