Arusha: Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yaiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo ndani ya Miezi 6

Arusha: Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yaiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo ndani ya Miezi 6

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyoko jijini Arusha imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo kutoka kwenye sheria zake ndani ya muda wa miezi sita kuanzia sasa.

Uamuzi huo umefikiwa kufuatia ombi lililowasilishwa na mlalamikaji Dominick Damian dhidi ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ambaye alikuwa anaomba kubatilishwa kwa hukumu ya kifo, ambayo alikuwa anasubiri utekelezaji wake katika Gereza la Butimba.

Chanzo: Azam TV
 
Back
Top Bottom