Arusha: Mahakama yamkuta Lengai Ole Sabaya na kesi ya kujibu

Namuona Mbowe naye Kesi ikienda haraka kama huyu..... Ila kwa Mbowe naumia sana
 
Tototundu kama namwona vile anavyo ongeza ubani kwenye chetezo.
 
Tanzania ukitaka kutenda kazi kwa haki watu wafuate misingi iliyopo wanakutengenezea kesi au hata kifo inavyoonekana,kwa sababu ya nguvu ya pesa.

Naamini Sabaya anaweza kua ametengenezewa jambo
Yaani hapa Duniani mpo watu wabishi sana.
Ebu jiulize tu, kwanini iwe yeye?
 
Hahahaha,wale nguchiro waliokuwa wanamtetea Jambazi Sabaya wapo wapi?.funga Jambazi hilo
 
BASHITE lina nyota ya kupendwa,huwezi amini mpaka mama analikubari na mtako ule
 
aise!
kwa nn tena?!
hizi kazi za lawama sana!
Yule sio Hakimu ww Arusha, alienda Arusha kwa kazi hio tu peke yake. Sasa nadhani naona ameshaimiss familia yake...

Na pia huenda hataki kuitia hasara serikali maadam ameshapewa TOR hataki blah blah. Wacha amalize arudi zake
 
Tanzania ukitaka kutenda kazi kwa haki watu wafuate misingi iliyopo wanakutengenezea kesi au hata kifo inavyoonekana,kwa sababu ya nguvu ya pesa.

Naamini Sabaya anaweza kua ametengenezewa jambo

Ni vzr sana na afungwe kabisa akapate na bwana huko Jela.
 

Alitumwa na mwenyekiti wa chama itakua.
 
Ushahidi mzuri Sana sabaya amewaumiza watu wengi Sana lkn sasa ushahidi Hakuna,watu hawataki kuja mahakamani kutoa ushahidi

Kule hai Cuthbet Swai mwenye asante tours aje kutoa ushahidi amalize kabisa mchezo.
 
Wewe unalala na Mbowe chumba kimoja hadi uyajue anayofanya sirini? Acha unafiki! Mahakama itende haki kwa Mbowe kama ilivyotenda kwa Sabaya
Ugaidi hutendwa kitandani/chumbani ?????!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…