Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Wamehukumiwa kunyongwa japo hawatanyongwa na wataachiwa kwa msamaha wa raisi
Nchi yangu Tanzania nakupenda kwa moyo wote
Mara nyingi wanaohukumiwa kunyongwa huwa Rais anawabadirishia adhabu inakua kifungo cha maisha hawaachii
 
Masheikh sita,katika hao ni yupi alilipua?yupi alipanga njama,hukumu ya hiyo kesi ikoje kwanza,hapo lazima Kuna harufu ya uonevu

Hukumu umeisoma? Kama hujaisoma kaa kimya mpaka utakapoisoma. Uwe unachungulia kwenye website inaitwa TANZLII. Hukumu nyingi huwa zinakua published huko. Nadhani itakua published hivi karibuni.
 
Mara nyingi wanaohukumiwa kunyongwa huwa Rais anawabadirishia adhabu inakua kifungo cha maisha hawaachii

Rais hana mamlaka ya kubadilisha adhabu. Wanaohukumiwa kunyongwa ni kwamba wanasubiri Rais asign tamko la kutiwa kitanzi, kitu ambacho marais wamekua wazito kukifanya. Hivyo mtu anajikuta anatumikia kifungo mpaka umauti.
 
Rais Samia hakuna kutia sahihi ya kunyonga hao watu, acha wakae gerezani ili wateseke mpaka wafe.

Kunyongwa ni kuwarahisishia maisha.
 
1. Hizo WHY zako, kama ulivyotanabaisha, kwamba mimi siyo muhusika..!!

2. Hizo WHY zako, haziondoi ukweli kwamba watu wameuwawa kwa vilipuzi

3. Hizo WHY zako, haziondoi ukweli kwamba kurusha kilipuzi ni hatua ya mwisho, hatua za mwanzo huwa kuna ushirikiano wa watu wengi

4. Hizo WHY zako, haziondoi ukweli kuwa miaka hiyo kumi imesababishwa na waliowashikilia.

5. Hizo WHY zako, haziondoi ukweli kuwa walioshitaki si kanisa.

6. Hizo WHY zako, haziondoi ukweli kuwa kucheleweshwa kupatikana kwa haki, hakuondoi au hakupaswi kunyima haki ya mtu.
 
Unaposema hakimu kahukumu kwa chuki za kidini,unajua aliyetoa hukumu ni wa dini gani ? Unasema walihakikisha hakuna watu ndipo wakalipua hao waliojeruhiwa walikua wapi ? Inaonekana wewe ndiye unatetea kwa misingi ya dini.
 
anawabadirishia adhabu inakua kifungo cha maisha hawaachii
Wrong...

huwa wanaachiwa wengi tu. Fuatilia wakati wa misamaha, wako Youtube wengi tu wanahojiwa, wanasema walihukumiwa kifo in the 70s and 80s Nyerere na Mwinyi waka commute their death sentences to life. Wanatumikia life sentence mwishowe wanaachiwa mazima.

KInachoudhi ni kwamba waandishi uchwara wa Youtube TV wanaowahoji siku zote wana sympathize nao bila kutupa the other side of the story ya unyama wao. Haiwezekani death row convicts wote wakawa walibambikwa kesi.
 
Serikali Isilale tu, hao walio achiwa wawe chini ya uangalizi kwa angalau miaka 20, kila wanachofanya na mawasiliano nayo , si ya simu tu bali hata watu wanao wasiliana nao.
Walirusha bomu Kanisani Olasiti, wakafurahia vifo vya watanzania wenzao kisa tu ina msimamo wa kiimani, hii haikubaliki:
Magaidi wa HAMAS walianza hivi, hawa Mashehe wachunguzwe kuanzai watot, wake na ndugu zao.
Hili jambo si la kidini bali ni jambo la Kitaifa.
 
KWAKO WEWE MTAKATIFU,
UMEWAHI SIA MISIKITI IKICHOMWA MOTO NA WATU KWA HIARI YAO AU KUTUMWA NA IMANI YAO?
SISI UKISEMA YESU SIO MUNGU, MUNGU SIO YESU, YESU KAFIRI, HATA UKICHANA BIBLIA WALA SIO KESI, HAYO NI MATATIZO YAKO.
LAKINI IKIFANYIKA KINYUME NI MWENDO WA HEKA HEKA, MATAMKO NA DUA ZA KIFO, MAANDAMANO, MATUSI , NAJUA UNAJUA ZAIDI.
 
Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Waachiwe ili walipue wengi zaidi?
 
Wanapendwa kuonewa huruma.
Ni sawa na Al Jazeera inaonyesha tu watoto wamepigwa mabomu au wapalestina wenye mawe wameuawa ila hawaonyeshi picha za Magaidi wa kiislamu wakiua waisraeli , kubaka, kukata uume zao na kuwafi**
 
Wasamehewe.
Kama walilipua kanisa na hakuna mtu aliyefariki hiyo ni hukumu ya Allah.

Waachie, miaka kumi wako kifungoni imetosha.

Yaani Rais amesaini hicho kitu?

Wale Waheshimiwa wawasaidie kukata rufaa.
Vipi kuhusu haki ya hao waliouwawa na familia zao
 

Tuweke hisia pembeni. Sheria inasemaje? Umesoma The Prevention Of Terrorism Act, 2002? Vipi Penal Code? Sheria zinasemaje juu ya makosa ya ugaidi?
 
6.Justice delayed is justice denied.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…