Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

“Mimi nina uhakika hao masheikh hawakuhusika”
Umeandika vingi lakini hakuna mahali popote ulipodhibitisha kuwa hawahusiki.
Mahakama inafanya kazi kwa vitendo na uchunguzi.

And ulikuwa wapi kuwasilisha mashauri yako kwenye kesi hii?
Nimekwambia hizi mahakama siziamini.Na wewe pia naamini ni kama mimi lakini kwa sababu hiyo hukumu inahusu waislamu unaiunga mkono.Ingekuwa aliyehukumia ni Mbowe au kuamua kesi za uchaguzij wala usingeamini,
Uchaguzi uliopita wote ulivurugwa wazi wazi lakini mahakama hizi hizi ziliuidhinisha kwamba ulikuwa halali.
Kuna watu walioulizia tu walipo hao masheikh na wao wakaunganishwa au kuwekwa kuzuizini.Huo utaratibu wa kupokea ushahidi utafanya kazi gani.Ni kesi na hukumu za laana tu.
Tusubiri tuone kama kuna mtu atatia saini hiyo hukumu ya kifo.
 
Kwenu waislamu:

1. Je ni lazima wote tuwe wa dini yenu?

2. Na kama sio kwani ukristo ni adui namba moja kwenu?

3. Kwanini wewe usishughulike ni imani yako, Mungu wako, na misahafu yako?

4. Je, na wasio wakristo au waislamu mnawaweka kundi gani? Adui au rafiki?

Haya sasa kanisa umelipua, watu wameumia au kupoteza maisha.

Je umepata thawabu? Mungu wako kakupandisha cheo? Au majeruhi wamabadilisha dini?
 
Nimekwambia hizi mahakama siziamini.Na wewe pia naamini ni kama mimi lakini kwa sababu hiyo hukumu inahusu waislamu unaiunga mkono.Ingekuwa aliyehukumia ni Mbowe au kuamua kesi za uchaguzij wala usingeamini,
Uchaguzi uliopita wote ulivurugwa wazi wazi lakini mahakama hizi hizi ziliuidhinisha kwamba ulikuwa halali.
Kuna watu walioulizia tu walipo hao masheikh na wao wakaunganishwa au kuwekwa kuzuizini.Huo utaratibu wa kupokea ushahidi utafanya kazi gani.Ni kesi na hukumu za laana tu.
Tusubiri tuone kama kuna mtu atatia saini hiyo hukumu ya kifo.

Ww unasema huziamini hizi mahakama , hilo ni wewe
Lakin je una independent body ya kisheria ya kutoa hukumu?
Au una mahakama nyingine?

And kwamba eti kwa vile ni kuislam ndio maana nimeandika hivyo hapana

Mimi nasimama upande wa sheria si upande wa dini. Hata angekuwa mpagani kama kakutwa na kosa basi sheria zichukue mkondo wake

Mtu yoyote regardless dini yake au imani. Ni mwananchi wa tanzania na anawajibika kwa sheria za nchi. Nothing less nothing more

And ulikuwa wapi 10+ years kupeleka mashauri yako mahakamani?
 
hauziamini namna gani wakati rais muislam, mapolisi waliowakamata ni waislam walikuwepo, na waendesha mashtaka walikuwepo waislam kabisa, tena mmoja mwarabu. au unataka nini sasa?
 
“Mimi nina uhakika hao masheikh hawakuhusika”
Umeandika vingi lakini hakuna mahali popote ulipodhibitisha kuwa hawahusiki.
Mahakama inafanya kazi kwa vitendo na uchunguzi.

And ulikuwa wapi kuwasilisha mashauri yako kwenye kesi hii?
wewe uhakika unajulia wap au ulikaa ukawahoji, ulikuwepo kwenye tukio? sometimes muwe mna reason vitu vya maana bas msikurupuke na 🤔🤔 nenda kasomee maana ya rufaa halaf uje
 
Ww unasema huziamini hizi mahakama , hilo ni wewe
Lakin je una independent body ya kisheria ya kutoa hukumu?
Au una mahakama nyingine?

And kwamba eti kwa vile ni kuislam ndio maana nimeandika hivyo hapana

Mimi nasimama upande wa sheria si upande wa dini. Hata angekuwa mpagani kama kakutwa na kosa basi sheria zichukue mkondo wake

Mtu yoyote regardless dini yake au imani. Ni mwananchi wa tanzania na anawajibika kwa sheria za nchi. Nothing less nothing more

And ulikuwa wapi 10+ years kupeleka mashauri yako mahakamani?
Kwa maelezo yako nahisi na wewe ni miongoni mwa waliosomea sheria kwa hivyo unatetea taaluma yako ya dhulma
Mimi sina sehemu nyengine yoyote kupata huduma za kisheria na nikienda kwenye hizi mahakama zetu ni kwa vile sina njia nyengine basi.Sio kwamba nakwenda kutafuta haki.
Maelezo ya kisiasa kama mtu yoyote wa dini na imani yoyote hayafanyi kazi ukiingia kwenye hizi mahakama.Hata kwenye chaguzi za kila baada ya miaka 5 wanapoteza muda wa watu na pesa bure.Hakuna ukweli wowote.
Mahakama hizi haziathiriwi na siasa pekee bali na imani ya majaji na rushwa.
 
wewe uhakika unajulia wap au ulikaa ukawahoji, ulikuwepo kwenye tukio? sometimes muwe mna reason vitu vya maana bas msikurupuke na 🤔🤔 nenda kasomee maana ya rufaa halaf uje
Wanaowahoji wanafanya hivyo kwa kuwatisha na kulazimisha majibu hivyo majibu ya mahojiano nayo ni kazi bure.
 
Safi sana.......huwezi kuua binadamu mwenzako kwa akili za kijinga hata kidogo....Sijui binadam wengine wanatoaga wapi ubavu wa kudhulumu uhai wa binadam wenzao!!

Ukiuwa kwa upanga na wewe utauliwa kwa upanga.......

Waafrika tunachukiana kwa sababu ya madini ya wazungu na waarab huo ni upuuz kama upuuz mwengine
Sikutegemea hii kutoka kwako,hongera
 
Allahu akbar
20231212_131633.jpg
 
Hii nzuri.
Ningekuwa mkuu wa gereza lile la kunyongea watu kule Dodoma ningewanyonga chap hata kabla maza hajaangusha saini.
Ugaidi hatuutaki katika nchi ya amani
 
Wauane wenyewe Kwa kugombania Zao sadaka lawama waje wawape waislam hao?mlipuko Gani wa kigaidi usiue hata MTU?Hilo kanisa lenyewe lililoripuliwa halioneshi hata hiyo dalili.
 
Serikali inapoteza muda na helaa miaka kibao wanakuja kutoa hukuma ya haki kabisaaa alafu kesho rais anawasemehe watuhumiwaaaa🚮🚮 hiii misamaha ya rais iwe inaangaliwa
 
Wanaowahoji wanafanya hivyo kwa kuwatisha na kulazimisha majibu hivyo majibu ya mahojiano nayo ni kazi bure.
kesi ya kuua sio kesi ya kuiba kuku au kumtukana mtu kaka watu wamekaa chini wakaaumiza vichwa na mahakama ipo kusikiliza pande zote ndo maana hata ukienda polisi mtuhumiwa mwenye akili anakwambia maelezo yangu nitayatoa mahakamani 🤔 🤔
 
Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Ni Sheria ndio inayosema hivyo
Ukilipua jengo lolote hata kama ni kijumba kidogo cha nyasi unapatikana na hatia ya kuua au kukusudia kuua kwa makusudi .
Nadhani unajua hukumu ya kuua kwa makusudi.
Vuta picha ulale ndani halafu mbaya wako amwagie petrol alipue nyumba uliyolala.
Suala la ndani kulikuwa na watu au hapakuwa na watu halituhusu.
Wewe ukilipua tu tunakupa kesi ya kuua
 
Back
Top Bottom