Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Hakimu ni muislam na tukio liliua watu watatu
 
Hawa wa Tanga unaweza kuweka kiunganisha cha kesi Yao.
 
Hizi ni fantasy zako tu zikiegemea mrengo wa dini yako,ugaidi wa waislam (extremists) sio Jambo jipya . Kitabu chenu kinaamrisha mashambulizi dhidi ya wasioamini (wakristo/Jews nk),hao masheikh wamefuata amri toka kwenye Qur'an tukufu. Bahati nzuri kidogo Tanzania tuna utawala wa sheria na wameweza kuwahukumu kwa sheria hizo.
 
Na kinachowafanya wajiite Waislamu na kupendana wao kwa wao ni kuwepo watu wasio wa dini yao. Wakiwa waislamu pekee bado watatafuna namna ya kubaguana utasikia kuna Washia na Suni nk. Juzi juzi tu hapa walikua wanapelekeana moto wao kwa wao wakiwaona Shia sio waislamu.
 
Mola wako Mlezi alipo wafunulia Malaika: Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi watieni nguvu walio amini. Nitatia woga katika nyoyo za walio kufuru. Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.

Qur'an 8:12
 

Sahihi, kwenye hilo la Waislam kuwa super sensitive na dini yao inapodhalilishwa -- lakini kwa mimi lina faida moja kubwa mno.

Imewasaidia sana Waarabu kuheshimiwa na beberu. Foreign Minister Hillary Clinton akitua jangwani anafunga hijabu, anatia adabu!

Mtu anakuheshimu na kukuogopa mpaka anavaa vazi lako hawezi kukuletea haki za LGBT+, hawezi kukusainisha mikataba ya ulaghai, hawezi kujitunisha ndani ya nchi yako.


kwa saab anajua japo huna maguvu ya kijeshi kumzidi you still don't take shit for nothing! Push come to shove utajilipua mfe wote any freaking moment!

Hapo ndipo ninapopiga saluti kwa Muislamu wa Uarabuni. Hawa wa kwetu wa third world hawa Maimuna, Mayasa, Mwarami, aaaahhhh... bado hawajui kutumia dini kutetea maslahi ya nchi.

 
kukaa mahabusu ni utaratibu wa kufanya kesi hasa hizi za jinai uchunguze ufanyike bila kuharibiwa wala kuingiliwa
Nadhani inasaidia Pia Watuhumiwa kuwekwa mbali na jamiii yenye hasira kali,Jamii zetu zinahukumu mkononi hawachunguzi

Kuachiliwa haraka inaweza leta shida kwa mtuhumiwa hasa wale ambao wanakua hawajahusika bali wamesingiziwa.
 

LINI SASA UMESKIA AU UMEONA MUISLAM KACHANA AU KAKOJOLEA BIBLIA??

KWANI NIKISEMA YESU SIYO MUNGU KWAKO NI KOSA??,UKRISTO WENYEWE UNASEMA HIVYO KUWA JESUS IS THE SON OF MARY,HIYO YA KUSEMA YEYE NI MUNGU UMEITOA WAPI??

USHOGA UNAORASIMISHWA NA PAPA UKO VATICAN NI MAFUNDISHO YA UKRISTO??
 
Mola wako Mlezi alipo wafunulia Malaika: Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi watieni nguvu walio amini. Nitatia woga katika nyoyo za walio kufuru. Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.

Qur'an 8:12

Kweli dini ya Magaidi[emoji1430][emoji1430]
 

Biblia inafafanua Yesu katika nafasi zote. Yeye ni Mungu, ni Mwana wa Mungu katika utatu mtakatifu na ni Mwana wa Adamu na pia ni Simba wa Yuda. Anaplay role zote kwasababu hayupo chini ya sheria. Hilo la Yesu ni Mwana wa Maria halipo. Kinachoelezwa tu ni Maria kupata Neema ya kumbeba Yesu kwa Uwezo wa Roho Mtakatifu.
 
Wauane wenyewe Kwa kugombania Zao sadaka lawama waje wawape waislam hao?mlipuko Gani wa kigaidi usiue hata MTU?Hilo kanisa lenyewe lililoripuliwa halioneshi hata hiyo dalili.
Ulifuatilia huo mkasa ? Hao Masheikh wamekamatwa uongozi wa Nchi ulikua
1. Mh: J.M. Kikwete -Rais
2. Mh: Dr. Mobamed Bilal
3. Ndg: Said Mwema IGP
4. Mh: M.C. Othman Jaji Mkuu
Hukumu imetoka uongozi wa Nchi ukiwa
1. Mh: Dr. S.S.Hassan -Rais
2. Mh: K.M. Majaliwa- Waziri mkuu
3. Mh: Prof. I.H.Juma jaji Mkuu
Hao wote ni Waislamu. Kwenye uongozi wa Nchi hisia hazina nafasi. Hawa wote wangeweka hisia za dini yao mbele wangeingilia hukumu kwa kuwa nguvu ya kufanya hivyo wanayo lakini wameacha sheria iamue.
 
Papa akirasimisha ushoga kwa wakristo shida inakuwaje kwako muislam?
Lini umemsikia Padre au Pastor akisema Muhammad siyo mtume wa Mwenyezi Mungu japo ukristu haumtambui?
Uungu wa Yesu kwa wakristu una athari gani kwa uislam?
Kwa nini msipractice dini yenu kwa amani huku mkiheshimu imani za watu wengine na haki zao za kuishi?
Ina maana dini yako haiwezi kustawi bila kishambulia imani za wengine!
 
Rais hana mamlaka ya kubadilisha adhabu. Wanaohukumiwa kunyongwa ni kwamba wanasubiri Rais asign tamko la kutiwa kitanzi, kitu ambacho marais wamekua wazito kukifanya. Hivyo mtu anajikuta anatumikia kifungo mpaka umauti.
Umefuatilia msamaha wa Rais juzi kwenye maadhimisho ya miaka 62 ya uhuru ?
Rais alitoa msamaha kwa wafungwa 263 ambao waliachiwa huru
Wafungwa wawili waliohumukumiwa kifo walibadirishiwa adhabu na kuwa kifungo cha maisha jela. Na wafungwa 1979 walipunguziwa adhabu.
Unasemaje Rais hana mamlaka ya kumbadilishia mfungwa adhabu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…