Uislam hauwezi kusimama wenyewe bila kujihusisha na ukristo,ndiyo maana Muhammad anatafutwa kwenye Biblia japo hapatikani, Mecca inatafutwa kwenye Biblia kwa manati japo haipatikani.Papa akirasimisha ushoga kwa wakristo shida inakuwaje kwako muislam?
Lini umemsikia Padre au Pastor akisema Muhammad siyo mtume wa Mwenyezi Mungu japo ukristu haumtambui?
Uungu wa Yesu kwa wakristu una athari gani kwa uislam?
Kwa nini msipractice dini yenu kwa amani huku mkiheshimu imani za watu wengine na haki zao za kuishi?
Ina maana dini yako haiwezi kustawi bila kishambulia imani za wengine!
Sawa kiongozi asante kwa kuniongezea uelewa.Wrong...
huwa wanaachiwa wengi tu. Fuatilia wakati wa misamaha, wako Youtube wengi tu wanahojiwa, wanasema walihukumiwa kifo in the 70s and 80s Nyerere na Mwinyi waka commute their death sentences to life. Wanatumikia life sentence mwishowe wanaachiwa mazima.
KInachoudhi ni kwamba waandishi uchwara wa Youtube TV wanaowahoji siku zote wana sympathize nao bila kutupa the other side of the story ya unyama wao. Haiwezekani death row convicts wote wakawa walibambikwa kesi.
Sasa wafiche ili iweje mbona Viongozi wengine wa dini mbalimbali wakitenda maovu na hukumiwa hawafichi nyazma zao.Kwahiyo kama imekuuma nendaHabari za kichochezi hizi kuchochea chuki za kidini kuna ulazima gani kusema masheikh!! Ingesemwa waliolipua bomu kanisani na kuua inatosha.
Hii kesi ingefanywa kama ile ya Mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kuletewa yanayojiri mahakamani, watu wasingekuwa na mitazamo waliyonayo sasa. Tungejua mbivu na mbichi.kesi ya kuua sio kesi ya kuiba kuku au kumtukana mtu kaka watu wamekaa chini wakaaumiza vichwa na mahakama ipo kusikiliza pande zote ndo maana hata ukienda polisi mtuhumiwa mwenye akili anakwambia maelezo yangu nitayatoa mahakamani 🤔 🤔
Nenda kawakatie rufaa acha kuandika mambo ya alinacha humu. Usilete ushabiki wa kidini hapa. Ulitaka wafe watu wangapi ndipo waonekane wana hatia?Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Duh!
Hivi kumbe lile tukio la Olasiti kulikuwa na watuhumiwa waliokamtwa!
Watu walikufa ukifika Kanisa la Orasiti kuna makaburi kama sikosei matatu. Hawa walikufa katika mlipuko huuKatika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Nina miaka 20 nainshi nje ya Tzkwahiyo ii tukio hata silifahau na maelezo niliyochangia ni kwa mujibu wa mleta habari, hakudadavua ipasavyoHakimu ni muislam na tukio liliua watu watatu
Papa akirasimisha ushoga kwa wakristo shida inakuwaje kwako muislam?
Lini umemsikia Padre au Pastor akisema Muhammad siyo mtume wa Mwenyezi Mungu japo ukristu haumtambui?
Uungu wa Yesu kwa wakristu una athari gani kwa uislam?
Kwa nini msipractice dini yenu kwa amani huku mkiheshimu imani za watu wengine na haki zao za kuishi?
Ina maana dini yako haiwezi kustawi bila kishambulia imani za wengine!
Kuchoma mazao shambani au ghala la chakula,kuchoma nyumba au jengo wanaloishi au kuingia watu wakati wowote ni dhamira ya mauaji.Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Kwa maoni yako nanuelewa wako hayo uliyoyataja yamo kwenye Ukristu na Imani ya kikristu haifai kuachwa ienee duniani?PAPA AKIRASIMISHA USHOGA KWANGU MIMI HAINA EFFECT YOYOTE,HAINIONGEZEI WALA KUNIPUNGUZIA
WAPO MAASKOFU NA MAPADRE WENGI TUH AMBAO WANA SADIKI KUWA MUHAMMAD SIYO MTUME WA MUNGU,LABDA KAMA WEWE HUWAJUI AU HUJAWASKIA
UUNGU WA YESU KRISTU HAUNA ATHARI YOYOTE KWANGU MUISLAM,KWA KUWA NYINYI MNA MUNGU WENU,NA SISI TUNA MUNGU WETU.
SISI TUNAPRACTICE IMANI YETU KWA AMANI KABISA,NA WALA HATUNA SHIDA NA MTU,NA TUNAHESHIMU IMAN ZA WATU WENGINE KULIKO DHEHEBU LOLOTE LILE DUNIANI,NI PROPGANDA NA HILA ZA DUNIA KUTAKA KUUPAKA MATOPE UISLAM BY GIVING THE DOG A BAD NAME FOR JUSTIFICATION TO KILL...
IMANI YANGU IMEKUWA INASTAWI TOKEA ZAMA NA ZAMA BILA KUGASI IMANI ZINGINE TATIZO IMANI ZINGINE ZINAONA IMANI HII NI THREA KWAO KUSTAWI KWA SABABU ZIFUATAZO.
1.INAPINGA VITA DHULMA
2.INAPINGA ZINAA,USHOGA,ULAWITI NA KADHALIKA
3.INAPINGA RIBA WAZI WAZI.
4.INAPINGA POMBE NA KAMARI WAZI WAZI.
5.INAPINGA MAUAJI YASIYO NA HATIA KWA KILA KIUMBE HAI.
6.INAPINGA ABORTION NA USHIKIRINA WAZI WAZI,JAPO KWA UCHACHE HAYO NILIYOKUELEZA,HUWEZI UKAKUTA IMANI KAMA HIYO IKAACHWA ISTAWI ULIMWENGUNI.
Sasa si ungesubiri jibu kwanza sheikh? 😁Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa,
Ukifanya uhaini hata bila kuua mtu, adhabu yake ni kunyongwa mpaka kufa. Usikariri eti kuwa adhabu ya kifo ni hadi uue mtuKatika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Kulipua jengo la kanisa ni uhaini? Au hujui uhauni ni nini?Ukifanya uhaini hata bila kuua mtu, adhabu yake ni kunyongwa mpaka kufa. Usikariri eti kuwa adhabu ya kifo ni hadi uue mtu
Umekurupuka. Wewe si umeuliza idadi ya waliokufa kutokana na mlipuko? Nimekutolea mfano wa uhaini kuwa si lazima uue ndio uadhibiwe kifo. Kuna makosa ukifanya hata bila kuua, adhabu yake ni kifo, nikatoa mfano wa uhaini, ukaubeba kama ulivyo! Communication inahitaji elimuKulipua jengo la kanisa ni uhaini? Au hujui uhauni ni nini?
Mkuu kuhusudia kuua na kuua sio kitu kimoja na adhabu yake haiwezi kua moja.Umekurupuka. Wewe si umeuliza idadi ya waliokufa kutokana na mlipuko? Nimekutolea mfano wa uhaini kuwa si lazima uue ndio uadhibiwe kifo. Kuna makosa ukifanya hata bila kuua, adhabu yake ni kifo, nikatoa mfano wa uhaini, ukaubeba kama ulivyo! Communication inahitaji elimu