Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wsmeonea, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa
Wamevuna walichopanda
 
Wasamehewe.
Kama walilipua kanisa na hakuna mtu aliyefariki hiyo ni hukumu ya Allah.

Waachie, miaka kumi wako kifungoni imetosha.

Yaani Rais amesaini hicho kitu?

Wale Waheshimiwa wawasaidie kukata rufaa.
Kwenye kusamehe, sawa nakubaliana na wewe, lakini ukumbuke anayehukumu si kanisa, ni mahakama, ambayo inafuata miongozo ya sheria. Usisahau yule aliyemdhuru papa, papa mwenye alimsamehe na aliwenda kumtembelea gerezani.

Kuhusu watu kufa kwa mlipuko ule, soma hapa G25 Publications: MAZISHI YA WALIOKUFA KWA BOMU LILILOLIPUKA KATIKA KANISA LA MT. JOSEPH OLASITI ,JIJINI ARUSHA
 
Kwa kesi hizi za bongo za kusingiziana Wala sishangai kinachoendelea.!

Kifo sio mwisho WA maisha bado Kuna maisha mengine ambayo hayana uchawa na kusingiziana
 
kama sio kamchezo sijui, nitaamini enapo wataendelea kuwa wanasubiria adhabu yao mpaka 2025 baada ya uchaguzi, 100% sa100 hawezi kuidhinisha wanyongwe, hana kifua hcho, anaweza kuwabadilishia kifungo/kuwaachia kabisa ila kwa kupitia mlango wa nyuma.
 
Kwa kesi hizi za bongo za kusingiziana Wala sishangai kinachoendelea.!

Kifo sio mwisho WA maisha bado Kuna maisha mengine ambayo hayana uchawa na kusingiziana
Kwamba wamesingiziwa au? nani kawasingizia?
 
Kuna watu hamna akili aiseee..!! Hivi ulikuwepo kweli wakati panalipuliwa? Au umejiandikia tu huu ujinga?
 
Hawa mashehe walikuwa wanafanya kazi ya shetani hapo...Unaanzaje hata kufikiri tu kutupa bomu kwenye nyumba iliyojaa watu wanaoabudu wanachokiamini!!
 
Mkuu kalipue wewe baada ya kuhakikisha watu wameshatoka kanisani afu tuone 🀣🀣🀣
 
walikufa watu watatu mimi nasali kwenye hilo kanisa
 
Wale wale Umati wa Magaidi
 
Adhabu inatolewa ili kufunza wao na walimwengu wengine. Kwa kifupi hii ndo maana ya kufunzwa na ulimwengu!
 
Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa
Hata kama hajafa mtu we unadhani walikuwa na nia njema??

Kwanini wasiende kulipua msikiti na badala yake Kanisa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…