Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Sheria za kishetani.Tangu lini mtu aliyeripua jengo ambalo hakuna madhara yaliyotokea akahukumiwa kifo.
Huyo jaji atakuwa ni padre wa hilo kanisa au mfuasi wake.
Jengine hakuna shambulio linalofanywa la kulipua likafanywa na kikundi kama hicho.Kubwa hawahusiki na kama kuna mtu alifanya uhuni huo atakuwa alitumwa na alfanya peke yake halafu hao masheikh wakashikwa na wapinzani wa imani yao.
Raisi Samia hawezi kutia saini hukumu hiyo ya kishetani.Akikosea atakuwa ameingia mtego wa kijinga sana.
 
MSHEIKH 6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA LEO ARUSHA.
Wawili waachiwa huru. Ni sehemu ya mamia ya Waislamu wanao tuhumiwa na Serikali kwa Ugaidi. Wamekaa gerezani miaka 10. Wengine 10, wamekwisha hukumiwa kunyongwa Tanga. Awamu ya 4 na ya 5 waliwakama, awamu ya 6 inafunga na kuwanyonga.

NB. Kama taarifa ni ya kweli na kama masheikh wawili wameachiwa huru na 6 kuhukumiwa basi hukumu ilikuwa ya haki, lakini na huyu sheikh ponda kipindi cha DP world alikuwa kimya sana sijui kilimkuta nini?

View: https://twitter.com/SheikhPonda/status/1734614363623903634?t=EjXPO1XewcT637RSo-CEgw&s=19
 
Hukumu hii naona haihusu mlipuko wa kanisani bali ule wa mkutano wa Chadema wa Soweto. Ni watu wale wale au hukumu hii imeunganisha matukio yote.

Refer post waliyopost nukuu za hukumu.
huyu alishauawa mda
 
Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa
Hiyo iwe fundisho kwa magaidi wengine wasije fanya huo ugaidi,wanyongwe.
 
Wewe, hao magaidi waliua watu watatu kwenye hilo kanisa bila sababu yoyote. Hivyo wanastahiri kunyogwa mpaka kufa pia wapo 10 huko Tanga nao wamehukumiwa kunyongwa mpaka kifo. Sasa kama unaubavu jitokeza na wewe tukuwahishe kwa mabikira 72.
 
NIMEFURAHI SANA..nilinusurika siku hiyo
 
Tunaomba maandamano ya nchi nzima kupinga hukumu Ritz , FaizaFoxy, kama mliweza kuandamana kutetea hamas hapa hamta niangusha
 
Wewe, hao magaidi waliua watu watatu kwenye hilo kanisa bila sababu yoyote. Hivyo wanastahiri kunyogwa mpaka kufa pia wapo 10 huko Tanga nao wamehukumiwa kunyongwa mpaka kifo. Sasa kama unaubavu jitokeza na wewe tukuwahishe kwa mabikira 72.
Hakuna imamu anayeshiriki tukio kama hilo.Hakimu na walioshtaki wote ni watu walioongozwa na imani za dini yao.
 
Tunaomba maandamano ya nchi nzima kupinga hukumu Ritz , FaizaFoxy, kama mliweza kuandamana kutetea hamas hapa hamta niangusha
Maandamano hayabadilishi kitu sana.
Subiri tuone kama hiyo hukumu itafanyiwa kazi. Watoto na wajukuu wa hao maimamu ndio watakaonzisha kazi kama ya Hamas.Na hawatahitaji msaada wa maandamano.
 
Maandamano hayabadilishi kitu sana.
Subiri tuone kama hiyo hukumu itafanyiwa kazi. Watoto na wajukuu wa hao maimamu ndio watakaonzisha kazi kama ya Hamas.Na hawatahitaji msaada wa maandamano.
Ndo maana mnafungwa hovyo muanzishe hamas Tz sisi tuanze kupata tabu, unaona yanaendelea sudan kisa janjawed na ujinga wa kidini kisa kupambania eti haki ya kipumbavu
 
Hizi hamna kabisa Jana kahukumiwa katekista Kwa kumuua mleyi wa kigago yaani kaua muumini wake kabisa na alifanya maandalizi full. Hizi dini tuachane nazo tu
 
Nalikumbuka tukio hili nilikuwepo baada ya kutokea na liliambatana na tukio la kutaka kuuawa mbowe na viongozi kadhaa pale kaloleni
 
Hakuna imamu anayeshiriki tukio kama hilo.Hakimu na walioshtaki wote ni watu walioongozwa na imani za dini yao.
Hao ni Maimamu ubwabwa ndio maana walishiriki kurusha bomu kwenye hilo Kanisa na kuua watu watatu. Walichokuwa wanakitafuta wamekipata ili wawahi kwa mabikira 72 huko Jehanamu!!
 
Ndo maana mnafungwa hovyo muanzishe hamas Tz sisi tuanze kupata tabu, unaona yanaendelea sudan kisa janjawed na ujinga wa kidini kisa kupambania eti haki ya kipumbavu
Tanzania hakujawa na Hamas isipokuwa hukumu na dhulma kama hizo ndizo zitakazoiansisha.Kama wenye hekima wakiamua na kutumia hekima zao Tanzania itabaki kuwa ya amani daima.
Nimeangalia orodha ya majaji ya mwaka 2022 nimeona jina la .Mhe. JajiJohn Francis Nkwabi JajiMahakama Kuu, DSM.
Sijui ndiye huyuj aliyetoa hiyo hukumu au ni Nkwabi mwengine.
 
Hoa masheikh walikamatwa kwenye utawala wa kikwete tena ni muunini wa dini ya kiislam hukumu imetolewa jana kwenye utawala wa samia dini ni muislam je ingekuwa kipindi cha mkapa na magufuli wangefanya hivo kuna rangi mngeacha, 2013 lile bomu liliua watu, Nakazia kuna wawili wameachiwa huru bado unahisi kunakuoneana hapo?
 
Subiri Uhuru Day awaachie huru sahau kuhusu hilo la kunyongwa hawezi kutia Saini hata awekewe mtutu wa bunduki kichwani

Kuachiwa au kwa masamaha wa rais kuna vigezo, wengi wenye kesi serious inakuwa ni vigumu mno.
Lazima wa fiti vigezo vya masamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…