Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Mahakama hizi wala haziaminiki.Ikiwa hazikuendeshwa kisiasa basi huathiriwa na mtazamo wa hakimu.
Hukumu yangu ni ya maana zaidi kuliko hiyo iliyotolewa.
Mimi nina uhakika hao masheikh hawakuhusika.Kama kulikuwa na bomu lilitegwa na vikundi vyengine vya fitina ambavyo wakati wa Kikwete vilipata leseni ya kufanya watakavyo Tanzania.
Magufuli alikuwa adui ya wanasiasa na wapinzani na waislamu lakini mabeberu hakuwaachia kufanya watakavyo.
Kwa hivyo wote hawakujfanya la maana na uadilifu kwa raia lakini fitna za kigaidi zinamuhusu sana Kikwete.Zawadi yake ilikuwa ni kuitembelea Marekani kila baada ya mwezi mmoja na kutiwa funguo.
 
Wacha wanyongwe tu
 
According to sheria za nchi, na magereza hakuna mahali kuna ainisha kuitwa sheikh flani ni tiket tosha ya kupata msamaha wa rais.
Zanzibar wameachiwa wale wa muamsho waliua mapadri na kuchoma makanisa na huku ni the same ni suala la muda tu
 
Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa
Walikufa watu 3 Mkuu!
Haya tuambie Mwanasheria, kwa utaalam wako wa Sheria, unataka Wanyongwe watu wangapi!?
 

“Mimi nina uhakika hao masheikh hawakuhusika”
Umeandika vingi lakini hakuna mahali popote ulipodhibitisha kuwa hawahusiki.
Mahakama inafanya kazi kwa vitendo na uchunguzi.

And ulikuwa wapi kuwasilisha mashauri yako kwenye kesi hii?
 

Ukitanguliza hisia siku zote hekima itakukosa. Hili suala sio la hisia. Ni suala la facts! Ukisema una uhakika hawajafanya lete ushahidi wako hapa. Na kama una uchungu sana na ulikua na uhakika huo ungeenda mahakamani wakati kesi yao inasikilizwa ukatoe ushahidi wako. Otherwise tuache kulialia hapa ili kusukuma siku ziende.
 
Wanaoenda pia kuhubiri chuki.
 
Zanzibar wameachiwa wale wa muamsho waliua mapadri na kuchoma makanisa na huku ni the same ni suala la muda tu

But then nimekuuliza ni sheria ipi inasema ukiwa sheikh bus ww una free ticket ya kuchomoka gerezani? Ni sheria ipi na kifungu gani ime ainisha hivyo?
 
kwa tuliokuwa tunafuatilia kesi, miongoni mwa waendesha mashtaka, walikuwepo mashehe wenzao.
 
Huu ni uchochezi. Ww ungesema waliolipua kanisa wahukumiwa kunyongwa.
mtuhumiwa na dini yake ni vitu viwili tofauti.

Jifunze kuandika vizuri ili tuendelee kutunza amani ya nchi.
 
Tena wana wachelewesha,,washenzi sana hao nakumbuka rafiki yetu baba yake alikuwa moja wapo ya m
Afundi..tulikuwa tuna enda marakwa mara kumtembelea alivyokuwa ana jenga,,tena tulipanga siku ya uzinduzi nass tungeenda pa1 ,, nikipata safari nikaondoka nilivyo Rudigi napewa taarifa yule Fulani..Alikufa kwenye mlipuko kanisani olasti,,😥😥 niliskitika sana..nahao mashehe washenzi shenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…