Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Wasamehewe.
Kama walilipua kanisa na hakuna mtu aliyefariki hiyo ni hukumu ya Allah.

Waachie, miaka kumi wako kifungoni imetosha.

Yaani Rais amesaini hicho kitu?

Wale Waheshimiwa wawasaidie kukata rufaa.
Walikufa watu watatu na target yao ilifeli cz walikua wafe wengi siku hiyo ulikua uzinduzi wa hilo kanisa,maskofu walikuepo
 

Let say that it's true kuwa hao ni masheikh wamelipua,swali kwako Kafiri wewe ni kuwa wamekuambia kuwa uislam ndiyo umewatuma wafanye tukio Hilo??

Tukio Lina zaidi ya miaka kumi,kama ni kweli walikuwa na uhakika kuwa wafanyaji wa tukio Hilo ni hao na waliwashikilia zaidi ya miaka kumi yote iyo,nini kiliwafanya wakose ushahidi kipindi chote Hiko?

Maovu mengi yanafanywa na watu wa Iman zingine,ikiwemo ya kwenu,ndiyo kusema hiyo Iman yenu ndiyo inawatuma?
 
Sowetoi waliofanya ugaidi ni police na wanajulikana,nlikuepo huo mkutano na risasi zilipigwa sana...nkajikuta nimetoka kwenye gari yangu nimeacha simu n mlango wazi nduki kuelekeo kaloleni kma mita 700 ndio nkapumzika...ila police ndio walipiga tukio
 
Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Unajua maana ya kulipua
 
Wasamehewe.
Kama walilipua kanisa na hakuna mtu aliyefariki hiyo ni hukumu ya Allah.

Waachie, miaka kumi wako kifungoni imetosha.

Yaani Rais amesaini hicho kitu?

Wale Waheshimiwa wawasaidie kukata rufaa.
Walikufa watatu
 
Masheikh sita,katika hao ni yupi alilipua?yupi alipanga njama,hukumu ya hiyo kesi ikoje kwanza,hapo lazima Kuna harufu ya uonevu
 
Kama ambavyo baba Askofu mkuu wa Kanisa Moja Takatifu La Mitume pale Geita alivyomtangazia Msamaha yule mtu aliyevunja vitu mbalimbali ndani ya Kanisa Nasi twakuomba uwatangazie Msamaha Mashehe 6 waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuchoma Kanisa

Yesu alisema " Baba Uwasamehe hawajui Walitendalo"

Hapa tunazungumzia Msamaha wa Mbinguni ambao unaweza kuponya hata miili yao pia

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
soma walichofanya acha kutumia neno Uonevu vibaya penda kurudi nyuma usome walichofanya.

iwe alikufa mtu au hajafa unahisi wanatofauti gani na wauaji? unahisi lengo lao ilikua kujeruhi?

Binafsi bora uniue kuliko unipe kilema cha kudumu..

Tafakari
 
Magaidi lazima yauawe!!! Mtu mzima unakwenda kufanya uhalifi kama huo!!? Wapumbaavu
 
Hivi kweli kesi inakaa zaidi ya miaka kumi mbona hatari hii? Yani wanakuachia wanasema hauna hatia na hapo ushakaa zaidi ya miaka 10? Kwakweli sjui upelelezi wetu ukoje ....
Heri ikae miaka 10 uje uhukumiwe kwa adhabu ya kunyongwa ila kama n adhabu ya miaka nadhani ifike mahali sheria ipitishwe mahabusu atae kaa miaka mi 5 jela kosa lake likiwa la hukumu ya miaka 7 basi ahukumiwe miwili ile mitano awe ashatumikia.

Najua watasema mahabusu hawafanyi kazi wanakaaga tu.
 
Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Kwahiyo mpaka mtu afee ndo liwe kosa??
Huoni kufanya uhalifu Ni kosa??
Nyie wavaa kobazi mnasapoti ugaudi duniani
 

Thanks kwa clarifications na nimeisoma vyema,kwa kina hiyo habari.

Nini kilitokea hadi watuhimiwa washikiliwe kwa kipindi chote hiko??ingawa swali hilo wewe siyo muhusika nalo,pili why wawe watu sita ili hali taarifa inaonesha kuwa alierusha hiko kilipuzi alikuwa ni mshukiwa mmoja??hao sita wanahusika katika angle ipi??

Hizo tuhuma ni kubwa sana why zisiwe na majibu kwa miaka yote hiyo??why haki icheleshwe kupatikana kwa kias hiko na kuna watu wasio na hatia wameuawa??

Mbaya zaidi kichwa cha habari kinasema ni masheikh,implication yake ni kuwa hao ni viongozi wa dini ya kiislam,wanajaribu kucreate kitu gani??
 
kukaa mahabusu ni utaratibu wa kufanya kesi hasa hizi za jinai uchunguze ufanyike bila kuharibiwa wala kuingiliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…