Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Walikamatwa wengi Mkuu, hadi mashoe shine.Duh!
Hivi kumbe lile tukio la Olasiti kulikuwa na watuhumiwa waliokamtwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikamatwa wengi Mkuu, hadi mashoe shine.Duh!
Hivi kumbe lile tukio la Olasiti kulikuwa na watuhumiwa waliokamtwa!
huna akiliKatika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wsmeonea, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa
Safi sana.......huwezi kuua binadamu mwenzako kwa akili za kijinga hata kidogo....Sijui binadam wengine wanatoaga wapi ubavu wa kudhulumu uhai wa binadam wenzao!!SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH SITA 6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA ARUSHA LEO
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo tarehe 12/12/2023, imewasomea hukumu Masheikh tisa miongoni mwa wale wanaoshikiliwa na Serikali kwa zaidi ya miaka kumi katika Gereza Kuu la Kisonge Mkoani Arusha.
Masheikh hao wanatuhumiwa na Serikali kwa Ugaidi wa kulipua Kanisa Katoliki la Ole sita mkoani Arusha mwaka 2013.
Akisoma hukumu hiyo Jaji Nkwabi aliwaachia huru Masheikh watatu ingawa mmoja miongoni mwao amerejeshwa jela kwa sababu ya kukabiliwa na tuhuma nyingine.
Walioachiwa huru ni: Abduli Humud Wagoba, Abdurahmani na Amani Mussa Pakasi (ambaye amerejeshwa gerezani).
Aidha Jaji Nkwabi alionesha kuridhishwa na ushahidi wa Polisi kwamba Masheikh sita katika shauri hilo akiwemo imamu mkuu wa Msikiti mashuhuri Masjid Quba Arusha, Sheikh Jaafar Hashim Lema waliripua Kanisa Katoliki na kusababisha madhara makubwa.
Kwa sababu hiyo Jaji Nkwabi aliamua kuwahukumu adhabu kali ya kunyongwa mpaka kufa.
Masheikh hao waliokaa gerezani kwa zaidi ya miaka kumi na hatimaye kuhukumiwa kifo ni:
1. Imam Jaafar Hashima Lema.
2. Yusuf Ali Huta
3. Ramadhani Hamadi Waziri.
4. Abdul Hassa Masta.
5. Kassim Idrisa. Na-
6. Abashari Hassan Omari.
Masheikh hao pamoja na wenzao kumi walio hukumiwa kunyongwa hivi karibuni mkoani Tanga, watanyongwa baada ya Rais Samia Suluhu Hassani kutia saini.
Pia, soma;
Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa
Hivi kweli kesi inakaa zaidi ya miaka kumi mbona hatari hii? Yani wanakuachia wanasema hauna hatia na hapo ushakaa zaidi ya miaka 10? Kwakweli sjui upelelezi wetu ukoje ....ARUSHA: Masheikh 9 miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa zaidi ya Miaka 10 katika Gereza Kuu la Kisongo wamesomewa Mashtaka katika Mahakama ya Kuu ya Kanda
Masheikh 6 kati yao wamekutwa na hatia ya kulipua Kanisa Katoliki la Parokia ya Mtakatifu Joseph #Olasiti Mwaka 2013 na kusababisha madhara makubwa hivyo kuhukumiwa kunyongwa
Waliohukumiwa ni Imam Jaafar Hashima Lema, Yusuf Ali Huta, Ramadhani Hamadi Waziri, Abdul Hassa Masta, Kassim Idrisa na Abashari Hassan Omari na waliochiwa huru ni Abduli Humud Wagoba, Abdurahmani na Amani Mussa Pakasi (ambaye amerejeshwa gerezani kwa kosa lingine)
Soma Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo
#JamiiForums #JFMatukio
Atamwachia ajayeMasheikh hao pamoja na wenzao kumi walio hukumiwa kunyongwa hivi karibuni mkoani Tanga, watanyongwa baada ya Rais Samia Suluhu Hassani kutia saini.
UlitakajeKufungwa kwa Kulipua kabisa ni uonevu?
Wametajwa kwa vyeo vyaoHabari za kichochezi hizi kuchochea chuki za kidini kuna ulazima gani kusema masheikh!! Ingesemwa waliolipua bomu kanisani na kuua inatosha.
Ninamuuliza huyo anayesema kuwa ni uonevu,ndo namuuliza kuwa ni uonevu kiaje?Ulitakaje
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH SITA 6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA ARUSHA LEO
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo tarehe 12/12/2023, imewasomea hukumu Masheikh tisa miongoni mwa wale wanaoshikiliwa na Serikali kwa zaidi ya miaka kumi katika Gereza Kuu la Kisonge Mkoani Arusha.
Masheikh hao wanatuhumiwa na Serikali kwa Ugaidi wa kulipua Kanisa Katoliki la Ole sita mkoani Arusha mwaka 2013.
Akisoma hukumu hiyo Jaji Nkwabi aliwaachia huru Masheikh watatu ingawa mmoja miongoni mwao amerejeshwa jela kwa sababu ya kukabiliwa na tuhuma nyingine.
Walioachiwa huru ni: Abduli Humud Wagoba, Abdurahmani na Amani Mussa Pakasi (ambaye amerejeshwa gerezani).
Aidha Jaji Nkwabi alionesha kuridhishwa na ushahidi wa Polisi kwamba Masheikh sita katika shauri hilo akiwemo imamu mkuu wa Msikiti mashuhuri Masjid Quba Arusha, Sheikh Jaafar Hashim Lema waliripua Kanisa Katoliki na kusababisha madhara makubwa.
Kwa sababu hiyo Jaji Nkwabi aliamua kuwahukumu adhabu kali ya kunyongwa mpaka kufa.
Masheikh hao waliokaa gerezani kwa zaidi ya miaka kumi na hatimaye kuhukumiwa kifo ni:
1. Imam Jaafar Hashima Lema.
2. Yusuf Ali Huta
3. Ramadhani Hamadi Waziri.
4. Abdul Hassa Masta.
5. Kassim Idrisa. Na-
6. Abashari Hassan Omari.
Masheikh hao pamoja na wenzao kumi walio hukumiwa kunyongwa hivi karibuni mkoani Tanga, watanyongwa baada ya Rais Samia Suluhu Hassani kutia saini.
Pia, soma;
Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa
Mpaka wafe? We akili umeweka wapi?Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wsmeonea, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa
Walikufa waumini watatu. Hawa wanastahili kunyongwa hasa maana siyo mashekh hao wala hawa wakilishi Uislam zaidi ya kuwa walitanguliza tamaa zao tu za dunia kwa ujira wa vipande vya fedha.Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wsmeonea, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa
Ni kwamba jamuhuri ilikata rufaa au ?
Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wsmeonea, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa
Hv waislamu akili huwa wanapeleka wapi.... Waislamu wengi naona hawajaguswa na huu ushetani. Content ya uislamu naanza kuitilia mashaka seriouslyKwahiyo ulitaka wafe wangapi na kwanini walipue kanisa