sio kwa pesa hiyo ya rambi rambi ndio ilishe, kumbuka ile ni familia na hii ni serikali, mfuko wa maafa upo ambazo ni kodi zetu tunazokatwa, sio pesa ya rambi rambi ile, ina maana watu wasingechanga mungewafanyaje mngetumia ubabe wenu kuwa malazi na vyakula ni complimentary,Kwenye siku zote za misiba majumbani mwenu huwa hamlishi watu wanaokuja kutoa pole!?
Sijui kosa lao ni lipi masikini wakati wameenda kuwafariji wafiwa!
ni vitendo vipi visivyovumilika? una maana viongozi waliochaguliwa na wananchi kwenda kuwapa pole wananchi waliowachagua? (kweli maradhi ya akili yako ya aina nyingi, dah!)
sina hamu kabisa na huu muenendo wa serikali yetu, huruma hawana kabisa, haya wafungeni muwe na raha, na msidhani kama mnawinda hizo rambirambi mtazipata, tutawafata wenyewe majumbani kwao, kwisha!! milioni 50 kila kijiji mpaka sasa hivi ni ahadi hewaMbona huwa yanafanyika makongamano mengi sana shuleni bila hata polisi kuhusishwa iweje hili la leo wamekua na interest nalo
Zaidi ya pale uwanjani wapi tena ulifanyika msiba!?Kwenye siku zote za misiba majumbani mwenu huwa hamlishi watu wanaokuja kutoa pole!?
hayo yako wazi huyo muhusika yupo ........... na sheria inajjulikana sasa mahakama zinangoja nini kumuwajibisha?kwa mfano sasa kosa ni la mahakama na polisi wao ndo wanajua la kufanyaLililopo ni pamoja Na majeruhi na Wafiwa watalipwaje fidia na mumiliki wakati hilo basi halikuwa na bima?
sometimes makazini tunaita waandishi ....?!Kikao cha kazini na meya+wachungaji+waandishi!! no huo ni mkutano tn wa kisiasa.
Duuuh si kwa kujitoa ufahamu level hii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ndo mana wamepelekwa polisi wakaseme hzo taasisi zote (meya,mchungaji/wachungaji na waandishi) walikuwa wana shughuli gn pale!
kwenye hilo kundi hatujui ni nani aliekuwa anapeleka rambi rambi na nani alikuwa msindikizaji!!? ngoja wakajib hayo maswali polisi.
Afu km sikosei juzi kati hapa nilimsikia huyo meya analalamika kuhusu hzo rambi rambi bila shaka amekipata ss alichokuwa anakitaka!
sio kwa pesa hiyo ya rambi rambi ndio ilishe, kumbuka ile ni familia na hii ni serikali, mfuko wa maafa upo ambazo ni kodi zetu tunazokatwa, sio pesa ya rambi rambi ile, ina maana watu wasingechanga mungewafanyaje mngetumia ubabe wenu kuwa malazi na vyakula ni complimentary,
Mkiwa mnafurahia hivi na matukio kama ya kibiti msilielie!
Mh usijali sana maana hakuna marefu yasiyo na ncha,wajiulize leo hii Buriani yuko wapi?Mulongo yuko wapi?Mstahiki Mayor wa Jiji , Paroko , Mchungaji , Waandishi wa habari 7 , wamekamatwa leo na Jeshi la Polisi wakiwa Shuleni Lucky Vicent ambako Mayor alialikwa na Umoja wa Shule binafsi Tanzania , waliopenda kutoa rambi rambi moja kwa moja kwa wafiwa badala ya kupitia ofisi ya Mkuu wa Mkoa . Wazazi waliokuwa hapo wamepatwa na taharuki kubwa baada ya kuona viongozi hao wanachukuliwa bila sababu yoyote ya msingi , mpaka sasa wako Polisi wanaambiwa walikuwa na mikusanyiko isiyo halali .
Nafikiri tunachoka sana . Mungu mpaka lini mambo haya ?