ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

I do sometimes ask myself is this the same nation that was led by the late mwalimu for over 20 yrs? Is this the same party which was led the same man? Do we really have the renown statemen who are still alive? Where are we heading to? Do we still have a bright future? Ooh lord God do something about this nation
 
Kwenye siku zote za misiba majumbani mwenu huwa hamlishi watu wanaokuja kutoa pole!?
sio kwa pesa hiyo ya rambi rambi ndio ilishe, kumbuka ile ni familia na hii ni serikali, mfuko wa maafa upo ambazo ni kodi zetu tunazokatwa, sio pesa ya rambi rambi ile, ina maana watu wasingechanga mungewafanyaje mngetumia ubabe wenu kuwa malazi na vyakula ni complimentary,
 
Sijui kosa lao ni lipi masikini wakati wameenda kuwafariji wafiwa!
ni vitendo vipi visivyovumilika? una maana viongozi waliochaguliwa na wananchi kwenda kuwapa pole wananchi waliowachagua? (kweli maradhi ya akili yako ya aina nyingi, dah!)

Unajua ni vigumu sn kumuelewesha mtu wa kaliba yako, huyo kiongozi unaemsema majuzi tu hapa alikuwa anaongea shombo kwenye vyombo vya habari juu ya hzo rambi rambi so ni wazi alienda pale akiwa anajua kbsa anachokifuata ..... afu meya hachaguliwi na wananchi kijana
 
Da!kweli huyu jamaa wa lori mbona hajielewi yaani watu kutoa pole kwa wafiwa wanakamatwa hii inauma sana Mugu Mungu anakuona kw hii utavuna unachokipanda hakika one day utaulizwa
 
Duh, yani Gambo anataka rambirambi zote zipitie mikononi mwake ili azipige panga kama kawaida yake!


Kwani alizokwapua mwanzo hazimtoshi?
 
hahaha nacheka kwa dharaau ameogopa kilichomtokea mwenzie amepotezwa kabisa sasa naona wanaifufua tbc ili waweze kuonekana na wananchi wenyewe hatuna mpango na tbc bora wangetumia hiyo 3 bn kujenga zahanati ama shule
 
Mbona huwa yanafanyika makongamano mengi sana shuleni bila hata polisi kuhusishwa iweje hili la leo wamekua na interest nalo
sina hamu kabisa na huu muenendo wa serikali yetu, huruma hawana kabisa, haya wafungeni muwe na raha, na msidhani kama mnawinda hizo rambirambi mtazipata, tutawafata wenyewe majumbani kwao, kwisha!! milioni 50 kila kijiji mpaka sasa hivi ni ahadi hewa
 
Kwenye siku zote za misiba majumbani mwenu huwa hamlishi watu wanaokuja kutoa pole!?
Zaidi ya pale uwanjani wapi tena ulifanyika msiba!?
Vp ushirik wa serikali, ulikuwa kwenda kula?
Hata chakula kikitolewa pa kulala hatulipii kama Huwezi kulala msibani anajijua mwenyewe. Tofauti na maelezo ya jamaa
 
Lililopo ni pamoja Na majeruhi na Wafiwa watalipwaje fidia na mumiliki wakati hilo basi halikuwa na bima?
hayo yako wazi huyo muhusika yupo ........... na sheria inajjulikana sasa mahakama zinangoja nini kumuwajibisha?kwa mfano sasa kosa ni la mahakama na polisi wao ndo wanajua la kufanya
 
wanahabari blacklist hii tafuna rambirambi kama kama DAB akili zimkae vizuri sifa zimemzidi
 

Mhe. Kipindi hiki cha majaribu ni vyema kuishinda. Hata SA bila Mandela kushinda majaribu leo hii pengine Makaburu wangekuwa bado wanatawala.
 
Ndo mana wamepelekwa polisi wakaseme hzo taasisi zote (meya,mchungaji/wachungaji na waandishi) walikuwa wana shughuli gn pale!

kwenye hilo kundi hatujui ni nani aliekuwa anapeleka rambi rambi na nani alikuwa msindikizaji!!? ngoja wakajib hayo maswali polisi.

Afu km sikosei juzi kati hapa nilimsikia huyo meya analalamika kuhusu hzo rambi rambi bila shaka amekipata ss alichokuwa anakitaka!
Duuuh si kwa kujitoa ufahamu level hii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
  • Thanks
Reactions: OTG
sio kwa pesa hiyo ya rambi rambi ndio ilishe, kumbuka ile ni familia na hii ni serikali, mfuko wa maafa upo ambazo ni kodi zetu tunazokatwa, sio pesa ya rambi rambi ile, ina maana watu wasingechanga mungewafanyaje mngetumia ubabe wenu kuwa malazi na vyakula ni complimentary,

Kwenye misiba ya majumbani, wananchi wanasubiri serijali iwape pesa ya kulisha walioenda kutoa pole au watu hawali chakula kabisa!?

Na hayo ya mie kama vile nipo na hao eeeeeh niache mimi sipo huku kwenye serikali na chama chao. Mimi mdau tu wa JF
 
Mstahiki Mayor wa Jiji , Paroko , Mchungaji , Waandishi wa habari 7 , wamekamatwa leo na Jeshi la Polisi wakiwa Shuleni Lucky Vicent ambako Mayor alialikwa na Umoja wa Shule binafsi Tanzania , waliopenda kutoa rambi rambi moja kwa moja kwa wafiwa badala ya kupitia ofisi ya Mkuu wa Mkoa . Wazazi waliokuwa hapo wamepatwa na taharuki kubwa baada ya kuona viongozi hao wanachukuliwa bila sababu yoyote ya msingi , mpaka sasa wako Polisi wanaambiwa walikuwa na mikusanyiko isiyo halali .

Nafikiri tunachoka sana . Mungu mpaka lini mambo haya ?
Mh usijali sana maana hakuna marefu yasiyo na ncha,wajiulize leo hii Buriani yuko wapi?Mulongo yuko wapi?
 
Back
Top Bottom