ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

Kwenye misiba ya majumbani, wananchi wanasubiri serijali iwape pesa ya kulisha walioenda kutoa pole au watu hawali chakula kabisa!?

Na hayo ya mie kama vile nipo na hao eeeeeh niache mimi sipo huku kwenye serikali na chama chao. Mimi mdau tu wa JF
usiingize serikali na nyumbani, nyumbani ni nyumbani na serikali ni serikali, hivyo usifananishe serikali na nyumba ya mtu cocochanel, ndio yale ya palamagamba ooh Uingereza na Israeli hawana katiba, usiige kutoka kwa flani, fanya wewe kama wewe, kuiga kwingine hakuna manufaa, nimekupa mfano tu, ila sikutaka kuingiza hili suala, manake nyie kijani kila kitu siasa na kuiga mumeweka mbele badala ya utashi, nyumba huwezi ilinganisha na serikali hata siku 1, wewe kwenu unajikata kodi, serikali inakata kodi na imeweka pesa kwa maafa kama hayo, au unadhani lile gari kupinduka ilipangwa itokee hivyo, kuweni na moyo wa huruma cocochanel linapofika suala la jamii, weka siasa pembeni
 
Elimu ya waandishi wengine wa habari pamoja na lema ni ya mashaka sana;
Kuwa DETAINED ni kitu cha kawaida sana, tofautisha kuwa DETAINED na kuwa ARRESTED, lema hapa kwa uwasilishaji wake wa habari ni kuwa wako ARRESTED, Mungu atarndelea kukulaani Lema mpaka akili itakapokukaa sawa! Upotoshaji wako si wa nchi hii.
 
ec14597f423b06b28916d880a1cd69a9.jpg

Ni agizo kumbe
 
Mwisho ukifika Viongozi hupotoka kwa mamuzi yao ambayo yanakatisha wananchi tamaa na chuki
 
Elimu ya waandishi wengine wa habari pamoja na lema nibya mashaka sana;
Kuwa DETAINED ni kitu cha kawaida sana, tofautisha kuwa DETAINED na kuwa ARRESTED, lema hapa kwa uwasilishaji wake wa habari ni kuwa wako ARRESTED, Mungu atarndelea kukulaani Lema mpaka akili itakapokukaa sawa! Upotoshaji wako si wa nchi hii.
0d8c5d2cb068a5744b3844590a3e3482.jpg
 
Elimu ya waandishi wengine wa habari pamoja na lema nibya mashaka sana;
Kuwa DETAINED ni kitu cha kawaida sana, tofautisha kuwa DETAINED na kuwa ARRESTED, lema hapa kwa uwasilishaji wake wa habari ni kuwa wako ARRESTED, Mungu atarndelea kukulaani Lema mpaka akili itakapokukaa sawa! Upotoshaji wako si wa nchi hii.
Tusaidie kwa lugha ya kiswahili
 
Wapi wamesema kulala, mnakuwa kama hamjui bei za wanaotoa huduma ya catering.

Mengine nendeni ofisini kwa RC mkamuulize au muandikieni humu.
waliochanga hawakuchanga kwa ajili ya catering, zimechangwa kwa ajili ya vijana wote walikatishwa maisha yao na lile basi. nyie si mnakata kodi zetu pelekeni huko kwenye catering, ungeona kama watu wangepiga kelele, ama kweli kufa kufaana,
 
Wewe ulichanga?? Ofisi ya lema ilichanga kiasi gani??
 
Sikuhizi nilishachoka kuiongelea tanzania, maaana hii nchi inamambo ya ajbu ajabu kila kukicha,

umasikini unaongezeka kila siku, sioni nafuu ya maisha naona wengi tuko vile vile, watanzania kama tumekosa direction, siasa imetawala kila kitu, chuki visasi na majungu yamekua makubwa!!! Nchi inakokwenda haijulikani!!!

Si upinzani wala si watawala wa sasa naona kama wanasuluhu ya matatizo yetu!!! Unafki mwingi, uzalendo wa kweli hakuna!!!! Watu hawaridhiki, hofu ya maovu haipo, ni tabu tupu!!!

Ningekua nauwezo ningelifutilia mbali taifa hili!!! "
 
Kwa maoni yangu uko huru kutoa mchango wako bila bughudha yoyote ile, lakini kwa hii Serikali unaweza kuishia kuvalishwa pingu na kuwekwa chini ya ulinzi mkali sana.
Kabisa. Haya maagizo "kutoka juu" yanaweza kukutia matatani
 
Swali tupo wapi Russia, China, Turkey, Rwanda, Uganda, Central Africa Rep., Zimbabwe, Venezuela(angalau wanaandamana hawa pamoja na kuuawa). Tupo nchi gani jamani???? Namtafuta mwanangu Daudi aliliwa na joka linaitwa Dyamini limerudi tena??????
 
Mna habari majuzi serikali Donald Trump ilimweka ndani mwandishi wa habari kwa kosa la kumuuliza Waziri wa Afya swali.
Dunia imebadilika tubadilike na kuheshimu serikali iliyopo madarakani mambo mengine 2020.
 
Back
Top Bottom