Sikuhizi nilishachoka kuiongelea tanzania, maaana hii nchi inamambo ya ajbu ajabu kila kukicha,
umasikini unaongezeka kila siku, sioni nafuu ya maisha naona wengi tuko vile vile, watanzania kama tumekosa direction, siasa imetawala kila kitu, chuki visasi na majungu yamekua makubwa!!! Nchi inakokwenda haijulikani!!!
Si upinzani wala si watawala wa sasa naona kama wanasuluhu ya matatizo yetu!!! Unafki mwingi, uzalendo wa kweli hakuna!!!! Watu hawaridhiki, hofu ya maovu haipo, ni tabu tupu!!!
Ningekua nauwezo ningelifutilia mbali taifa hili!!! "