ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

b55b26fe62236498340bd1543466101f.jpg
 
Msiba ulikuwa wa kitaifa. Sasa hawa wenzetu vipi au wanabip,
Gambo Fanya Nazi yako hapa Nazi tu cyo kutafuta kiki,
Hao waandishi hawajajuwa kama msiba in wataifa zima weka ndani.
Hao viongozi was dini ndo walewale pia weka ndani na huyo meya kesho mahakamani.
 
Elimu ya waandishi wengine wa habari pamoja na lema ni ya mashaka sana;
Kuwa DETAINED ni kitu cha kawaida sana, tofautisha kuwa DETAINED na kuwa ARRESTED, lema hapa kwa uwasilishaji wake wa habari ni kuwa wako ARRESTED, Mungu atarndelea kukulaani Lema mpaka akili itakapokukaa sawa! Upotoshaji wako si wa nchi hii.

Wewe ndo utalaniwa, acha kutetea upuuzi unaofanywa na huyo G wenu
 
usiingize serikali na nyumbani, nyumbani ni nyumbani na serikali ni serikali, hivyo usifananishe serikali na nyumba ya mtu e1. cocochanel, ndio yale ya palamagamba ooh Uingereza na Israeli hawana katiba, usiige kutoka kwa flani, fanya wewe kama wewe, kuiga kwingine hakuna manufaa, nimekupa mfano tu, ila sikutaka kuingiza hili suala, manake nyie kijani kila kitu siasa na kuiga mumeweka mbele badala ya utashi, nyumba huwezi ilinganisha na serikali hata siku 1, wewe kwenu unajikata kodi, serikali inakata kodi na imeweka pesa kwa maafa kama hayo, au unadhani lile gari kupinduka ilipangwa itokee hivyo, kuweni na moyo wa huruma cocochanel linapofika suala la jamii, weka siasa pembeni

Ha ha haaaa

Kwa mimi mwananchi najua vyama vya upinzani ndio namba moja kwa kudakia issue bila kuleta kipya cha kusaidia wananchi wala kuwaendeleza... mnaweka siasa bila kuhehimu wafiwa.

Hayo mengine unayoandika jifurahishe tu... nahisi na wewe lazima una kadi ya kijani kwenye wallet yako.

Msitumie misiba kutafuta kiki kuisema serikali ya awamu ya tano.

CIAO
 
Hawa nao shida tupu, hapa ndio namkubali malima hakuna kupewa lift hadi zimelia njugu, sasa unabebwa tu kienyeji, ingekuwa dar wangekuwa washapigwa jiti tayari.
 
Nimejuta kusoma post kwa upuuzi uliojaza humo. Waliofiwa ni zaidi ya familia 30 na zote zilikuwa na uhusiano na SHULE husika na kuwa marehemu aidha walikuwa wanafunzi, walimu au watumishi wa shule hiyo. Wafiwa walikuwa na mazoea ya kufika shuleni hapo hivyo ni mazingira waliyozoea kwa hiyo ni rahisi kukusanyika hapo kuliko kutafuta mfiwa mmoja mmoja. Waliopeleka rambirambi unaambiwa ni umoja wa wamiliki wa shule binafsi mkoa wa Arusha. Ulitaka wafanye nini zaidi ya kuwakusanya wafiwa pamoja na kuwapa pole kwa pamoja? Mbona siku ya kuaga miili ya marehemu watu walikusanyika Sheikh Amri Abeid na sikukusikia ukipendekeza kila mtoto akaagiwe kwao? Uwe unashirikisha akili kabla hujaanza kucomment.

Labda wangezipeleka izo rambirambi moja kwa moja kwa Gambo, ,,,,aisee, this is too much
 
waliochanga hawakuchanga kwa ajili ya catering, zimechangwa kwa ajili ya vijana wote walikatishwa maisha yao na lile basi. nyie si mnakata kodi zetu pelekeni huko kwenye catering, ungeona kama watu wangepiga kelele, ama kweli kufa kufaana,

Kwanini nyie mnaolalamika hamkuchangia wale na kuwaambia za rambirambi wafanyie mnayotaka!?

Mnalalmika huku hata senti hamkutoa.
 
Sikuhizi nilishachoka kuiongelea tanzania, maaana hii nchi inamambo ya ajbu ajabu kila kukicha,

umasikini unaongezeka kila siku, sioni nafuu ya maisha naona wengi tuko vile vile, watanzania kama tumekosa direction, siasa imetawala kila kitu, chuki visasi na majungu yamekua makubwa!!! Nchi inakokwenda haijulikani!!!


Si upinzani wala si watawala wa sasa naona kama wanasuluhu ya matatizo yetu!!! Unafki mwingi, uzalendo wa kweli hakuna!!!! Watu hawaridhiki, hofu ya maovu haipo, ni tabu tupu!!!

Ningekua nauwezo ningelifutilia mbali taifa hili!!! "
sasa mbona unaiongelea?? Au hujui ukisemacho?? Au mnafiki kama wengine unasema huku humaanishi??

P.S: Naomba usitoke povu kama una ngozi ngumu!
 
mkuu sijui huu ubuyu. Magesa amefanikiwa kupata kazi kwa Shubash au ameendelea kuwa miongoni mwa vijana wasio na ajira
anaendelea kumpigia magoti patel amuajiri..muhindi una faida kwake unapokuwa na madaraka ya kumuwezesha kukwepa kodi,short of that hana habari nawe
 
Msiba ulikuwa wa kitaifa. Sasa hawa wenzetu vipi au wanabip,
Gambo Fanya Nazi yako hapa Nazi tu cyo kutafuta kiki,
Hao waandishi hawajajuwa kama msiba in wataifa zima weka ndani.
Hao viongozi was dini ndo walewale pia weka ndani na huyo meya kesho mahakamani.
Shida ya CCM ni kutetea hata kilicho oza
 



Sasa kumbe wamepewa lifti kwa kukimbilia kupata habari nyie mnaongea mengine ha ha haaaa

Mapaparazi wa Tanzania, wataanza kutunga uongo tunausubiri na nini kingine press conf. Na mlio na muda wa udaku mtawasikiliza...eeeeeh
 
Tuliposema utawala wa Magufuli ni wa kidikteta kuna watu waliona kama tunatania.
 
Nenda kawape Pole wazazi walofiwa wewe unaenda kuhani msiba nyumba isiyofiwa? Ukiitwa mwanga utakataa?
.

Si mgeagia kwa wafiwa pia kwani pale uwanjani ni nyumba ya walio fiwa? Pale shule walikusanyika ili event iwe moja maana wazazi wangekusanyika pale kma mlivo fanya uwanjani.....
 
Heee usikute rc gambo alitaka hiyo michango ipitie kwake apige panga kama zile rambi rambi aisee hivi wanatumia akili gani hao ka ma sio kumfanya rais aonekane mbaya mbele ya wananchi daah akipandacho mtu ndicho atakacho vuna
 
Back
Top Bottom