ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

Sasa kumbe wamepewa lifti kwa kukimbilia kupata habari nyie mnaongea mengine ha ha haaaa

Mapaparazi wa Tanzania, wataanza kutunga uongo tunausubiri na nini kingine press conf. Na mlio na muda wa udaku mtawasikiliza...eeeeeh
Soma tena ulichoandika!Hv unaweza pewa lift bila hiari yako???
 
Kama ndo waandishi hawa hawa wachochezi inatakiwa wapigwe na viboko kabisa...alafu walale central wiki mbili wakila pumba na maji...hakuna kulemba hapa kazi tuuuuuuuuuuuuuuuuu
Nakuombea yakukute ili uje ujielewe
 
Mstahiki Mayor wa Jiji , Paroko , Mchungaji , Waandishi wa habari 7 , wamekamatwa leo na Jeshi la Polisi wakiwa Shuleni Lucky Vicent ambako Mayor alialikwa na Umoja wa Shule binafsi Tanzania , waliopenda kutoa rambi rambi moja kwa moja kwa wafiwa badala ya kupitia ofisi ya Mkuu wa Mkoa .

Wazazi waliokuwa hapo wamepatwa na taharuki kubwa baada ya kuona viongozi hao wanachukuliwa bila sababu yoyote ya msingi , mpaka sasa wako Polisi wanaambiwa walikuwa na mikusanyiko isiyo halali .

Nafikiri tunachoka sana . Mungu mpaka lini mambo haya ?

======

UPDATES: 1

Waandishi waliokamatwa na jeshi la polisi Arusha kwa madai tulihudhuria kikao ambacho hakikua na kibali katika shule ya Luck vincent ambapo shirikisho la wamiliki wa shule binafsi walikuwa wanaendwa kutoa rambirambi. Sisi tulipata taarifa tukaenda kufanya kazi.

1 .Godfrey Thomas -ayo tv

2.King Alphonce Saul Kusaga

3.Filbert Emmanuel -mwananchi

4.Husein Tuta ITV

5.Joseph Ngilisho -Sunrise radio

6.Geofrey Stephen -Radio 5

7.Janeth Mushi -Mtanzania

8.Zephania Ubwani -The Citizen

9.Elihuruma Yohani -mwakilishi wa Tanzania Daima

10.Idd Uwesu - Azam Tv

UPDATES; 2

Waandishi wa habari waliokamatwa Arusha leo katika utoaji wa rambirambi shule ya Lucky Vincent wameachiwa, polisi waliwaambia waliwapa lift tu.

UPDATES;
Wamiliki wa Shule Binafsi walioenda kutoa rambirambi katika Shule ya Msingi ya Lucky Vincent wakiwa na waandishi wa habari wamewekwa chini ya ulinzi na polisi shuleni.

Mwandishi wetu ambaye yuko eneo la tukio hivi sasa ameeleza kuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya Arusha ambaye hajamtaja jina amewaambia kuwa wako chini ya ulinzi kwa kosa la kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria.

Mwandishi wetu ameeleza kuwa katika msafara huo pia yupo Meya wa Jiji la Arusha, Kalist Lazaro, viongozi wa dini, wazazi waliofiwa na waandishi kama 10.

Chanzo: Mwananchi
Hii ni hatari Watanzania hatuna uzoefu wa kuomba kibali Polisi ili ukahudhurie msiba au mazishi, lakini kwa utawala huu wa Kidikteta dalili hizi tunaziona. Tatizo la dikteta magufuri anawaza mikusanyiko ya watu yana nia mbaya na utawala wake wakati si kweli. Yeye asubiri 2020 tufanye yetu kwenye sanduku la kura hatuna haja kufikiria utawala wake
 
Ndo utawala tulioutaka, kama una kumbukumbu hata dj alisema anamtaka Magufuli type!
DJ ni nani? Na yeye ni nani mpaka umtumie kama kigezo? Na maneno hasa (verbatim) aliyotumia ni yapi? Wapi? Tarehe gani? Kati muktadha gani?
 
Mstahiki Mayor wa Jiji , Paroko , Mchungaji , Waandishi wa habari 7 , wamekamatwa leo na Jeshi la Polisi wakiwa Shuleni Lucky Vicent ambako Mayor alialikwa na Umoja wa Shule binafsi Tanzania , waliopenda kutoa rambi rambi moja kwa moja kwa wafiwa badala ya kupitia ofisi ya Mkuu wa Mkoa .

Wazazi waliokuwa hapo wamepatwa na taharuki kubwa baada ya kuona viongozi hao wanachukuliwa bila sababu yoyote ya msingi , mpaka sasa wako Polisi wanaambiwa walikuwa na mikusanyiko isiyo halali .

Nafikiri tunachoka sana . Mungu mpaka lini mambo haya ?

======

UPDATES: 1

Waandishi waliokamatwa na jeshi la polisi Arusha kwa madai tulihudhuria kikao ambacho hakikua na kibali katika shule ya Luck vincent ambapo shirikisho la wamiliki wa shule binafsi walikuwa wanaendwa kutoa rambirambi. Sisi tulipata taarifa tukaenda kufanya kazi.

1 .Godfrey Thomas -ayo tv

2.King Alphonce Saul Kusaga

3.Filbert Emmanuel -mwananchi

4.Husein Tuta ITV

5.Joseph Ngilisho -Sunrise radio

6.Geofrey Stephen -Radio 5

7.Janeth Mushi -Mtanzania

8.Zephania Ubwani -The Citizen

9.Elihuruma Yohani -mwakilishi wa Tanzania Daima

10.Idd Uwesu - Azam Tv

UPDATES; 2

Waandishi wa habari waliokamatwa Arusha leo katika utoaji wa rambirambi shule ya Lucky Vincent wameachiwa, polisi waliwaambia waliwapa lift tu.

UPDATES;
Wamiliki wa Shule Binafsi walioenda kutoa rambirambi katika Shule ya Msingi ya Lucky Vincent wakiwa na waandishi wa habari wamewekwa chini ya ulinzi na polisi shuleni.

Mwandishi wetu ambaye yuko eneo la tukio hivi sasa ameeleza kuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya Arusha ambaye hajamtaja jina amewaambia kuwa wako chini ya ulinzi kwa kosa la kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria.

Mwandishi wetu ameeleza kuwa katika msafara huo pia yupo Meya wa Jiji la Arusha, Kalist Lazaro, viongozi wa dini, wazazi waliofiwa na waandishi kama 10.

Chanzo: Mwananchi
Gambo rambirambi alizoiba hazimtoashii
 
Soma tena ulichoandika!Hv unaweza pewa lift bila hiari yako???

Mnakazi kweli ya kumjibu huyo.Sana mnampa promo ya bure huyo dawa yake ni kumuignore kama alivyofanywa Makonda
 
UPDATES; 2
Waandishi wa habari waliokamatwa Arusha leo katika utoaji wa rambirambi shule ya Lucky Vincent wameachiwa, polisi waliwaambia waliwapa lift tu.
Hivi siku hizi tuna raslimali za kuchezea namna hii..??
Yaani muwaambie wako chini ya ulinzi, kisha muwapeleke kituoni
baada ya kuona kuwa mliingia chaka kisha mnaibuka na kusema eti
mliwapa lifti tu...?? Kweli..?? aghhhhhhh.......
 
Lakini sioni mantiki ya kulazimisha rambirambi kuratibiwa na serikali hasa kwa issue kama ya Luck Vincent kwa kuwa shule ipo na inawafahamu vyema wazazi kuliko hiyo serikali.
 
Lema, hakuna mtihani mgumu maishani kama mzazi kumzika mtoto. Kwa bahati mbaya mtihani huu umefika wazazi wa watoto 30 na walimu wao. At minimum, wewe kama mzazi ulitakiwa kuwapa nafasi wazazi hawa waombeleze (to come to terms) na mtihani huu mzito. Lakini kwa sababu unazozijua wewe binafsi, umeamua kugeuza msiba huu mzito kuwa mjadala wa siasa.

Lema kwenye hii post unaongelea rambirambi, what is rambirambi kwa mzazi aliyezika mtoto? Nina hakika hao wazazi wako tayari kutoa kila senti waliyonayo mfukuni warudishiwe watoto wao wakiwa hai. Lakini tunafahamu hili ni gumu kutokea. Ndio sababu nasikitika sana umekazana kuongea rambirambi lakini umesahau kila neno unalotamka kuhusu huu msiba -tena bila ridhaa ya wazazi walifikwa na msiba maana yake unawatonesha kidonda hiki kibichi. Hela? hizo 'bloody money', zitafanyia nini wakati wameshazika watoto Lema?. Jirudi utafakari tena upya.

Kama una vita na Mkuu wa Mkoa au mwanasiasa mwingine yoyote tafuta uwanja mwingine wa kupimana nguvu, lakini ningekusihi, kama mzazi uwape nafasi wafiwa waombeleze msiba huu mzito. Acha kujipa cheo cha kuwa msemaji wa wafiwa.

Nimalizie, ilikuwaje wewe mwanasiasa uende kutoa rambirambi na waandishi wa habari?
 
Lakini sioni mantiki ya kulazimisha rambirambi kuratibiwa na serikali hasa kwa issue kama ya Luck Vincent kwa kuwa shule ipo na inawafahamu vyema wazazi kuliko hiyo serikali.
Na serikali ilishafanya manjonjonyake yote tayari moaka Makamu wa Rais akawepo.

Hapa ni udikteta tu.

Hawa wajinga wanaweza kusema hata vikao vya harusi nibkazima viratibiwe kwa serikali kwa mwendo huu.
 
Huu ni Aina ya Udikteta na ushamba wa hali ya juu kwani kwenda kutoa pole ni dhambi? hao polisi huenda hawana vyeti

Kweli mkuu na ni upumbav uliotukuka !!!
Hawa wanajiona miungu lkn hawajui siku zao zikifika km ilivyokuwa kwa yule posta masta Mulongo Magessa..

Ngoja taarifa ziende mpaka kule walipo wazazi na watoto wengine .....halaf hawa hawa utakuta wanakuja kimbelembele na suti zao za kuchonga kupokea na kuongea na wazazi !!!
 
Back
Top Bottom