Mtani mtata
JF-Expert Member
- Nov 5, 2015
- 475
- 341
sometimes makazini tunaita waandishi ....?!
Unajua PR
Hata robot lina nafuu maana zinatumika fedha nyingi kuliunda. Wa hivyo hana tofauti mende, ingawa hawafugwi lakini wanazaliana majumbani kwenye Yale maeneoAnother roboti at work!
Kisa ni meya wa chadema amefanya hivyoNow tunaambiwa wamewaachia waandishi wa habari, wamewaambiwa walikuwa wamewapa lift tu.. mayor na madiwani bado wanahojiwa! hii ni aibu kuu muda utasema
Kwa sababu wanapajua sio aibu sana hii nchi kuwa na watu wenye IQ ya namna hiiHizo rambi rambi wangepeleka majumbani kwa wafiwa sio shuleni
Zaidi ya pale uwanjani wapi tena ulifanyika msiba!?
Vp ushirik wa serikali, ulikuwa kwenda kula?
Hata chakula kikitolewa pa kulala hatulipii kama Huwezi kulala msibani anajijua mwenyewe. Tofauti na maelezo ya jamaa
Lift? Kwani waliendaje hapo shuleni?'#BREAKING Waandishi zaidi ya 8 waliokamatwa Arusha leo ktk utoaji rambirambi kwa Lucky Vicent wameachiwa, Polisi wawaambia waliwapa lift tu.
Rudisheni rambirambi za wafiwa wachaKwenye siku zote za misiba majumbani mwenu huwa hamlishi watu wanaokuja kutoa pole!?
Kwa hiyo na mie na kimchango changu nikitaka kwenda kutoa pole pale Lucky Vincent nitahitaji kuripoti polisi pia?
Hivi vinafuata maagizo kutoka juu.
.....Meya kachaguliwa na wananchi gani kijana
mbona unakuwa mjinga kiasi hiki
Nchi ambayo wenyewe kwa wenyewe mnaitana cockroach. Mara mchinjane wenyewe loooh!
Bongolala
Rudisheni rambirambi za wafiwa wacha