ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

wangefurika kondoo wa hao viongozi wa dini kuliko wa Gwajima, usicheze na imani za binadamu
 
Anawapangia rambi rambi zao wawape nani au la? Kama aliwasaidia kuzitafuta hizo hela sawa,ila kama walitafuta wao na maamuzi ya kutoa ni yao nini kinamuwasha? Mijitu mingine ni shida kweli!
 
Zaidi ya pale uwanjani wapi tena ulifanyika msiba!?
Vp ushirik wa serikali, ulikuwa kwenda kula?
Hata chakula kikitolewa pa kulala hatulipii kama Huwezi kulala msibani anajijua mwenyewe. Tofauti na maelezo ya jamaa

Wapi wamesema kulala, mnakuwa kama hamjui bei za wanaotoa huduma ya catering.

Mengine nendeni ofisini kwa RC mkamuulize au muandikieni humu.
 
ec14597f423b06b28916d880a1cd69a9.jpg


Ni agizo kumbe
 
Kwa maoni yangu uko huru kutoa mchango wako bila bughudha yoyote ile, lakini kwa hii Serikali unaweza kuishia kuvalishwa pingu na kuwekwa chini ya ulinzi mkali sana.

Kwa hiyo na mie na kimchango changu nikitaka kwenda kutoa pole pale Lucky Vincent nitahitaji kuripoti polisi pia?
 
haaaa inashangaza sana aise lakin kwakuwa ndo tz ya sasa ilipofka n jambo la kawaida sana
 
Hakuna mtu anayeweza kudharau serikali ya mkoa.
 
Back
Top Bottom