ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

Jeshi la Polisi limesema, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ndiye aliyetoa amri ya kukamatwa kwa walioenda kutoa salamu za rambirambi katika Shule ya Msingi ya Lucky Vincent leo.

Kwa sasa hapa nchini tunakabiliwa na changamoto kubwa mbili.........(malizia kusoma kwentye signature yangu hapa chini)
 
Busara na hekima ni muhimu sana
 
duh !! kumwelewexha chiz kwel unajipa kazi xax kama sio ubumbumbu hapo fact ya upinzan inahusikaje kwan kutoa rambi rambi nkoxa acha ulumumba ww
 
Samahani mtoa posti hawa walienda Shule ya Vicenty Lucky kutoa rambirambi zao na pole. Hawakuhitaji kupandishwa chati. Kutoa rambirambi ni kupanda chati? Kwa nini watu wanaoenda msibani wafuatiliwe?
 

Polisi wamesema Mkuu wa Mkoa Mrisho Gambo ndiye aliyetoa order ya kwenda kuwakamata hayo mengine ni blah blah.Tunakujua wewe ni KADA na umekuja kumtetea mla Rambirambi
 
Kati ya vichwa hasara nchi hii wewe unaongoza . Ule ufedhuli uliotokea Mwz kwa Mawazo unadiriki kuuongelea??!! .Na hata hili la Arusha ni kinyume na utu wa ki Africa. Madaraka ni ya muda tu
 
Wazazi pia wajengewe ujasiri wa kudai fidia kwa mwenye shule kwani gari yake haikuwa Na bima. Huko wafiwa na majeruhi shule yaweza walipa mabilionni.hizo za michango ndogo sana wakomae kudai fidia Ambako ndiko kuna hela nyingi mno
 
Mbona Polisi wanasema wametumwa na Gambo???:
 
IMEFIKA WAKATI TUHESHIMU MAMLAKA ZILIZOPO.HAIWEZEKANI UTARATIBU ULIWEKWA TOKEA MWANZO KUWA HELA ZOTE ZA RAMBIRAMBI ZIPELEKWE KWA MKUU WA MKOA ARUSHA,HALAFU LEO MSTAHIKI MEYA ANAKWENDA KUGAWA HELA MOJA KWA MOJA BILA KUFUATA UTARATIBU.HII NI DHARAU YA HALI YA JUU NA SEREKALI HII HAITAKIWI KULIFUMBIA MACHO SWALA HILI HATUA KALI ZICHUKULIWE DHIDI YA MEYA HUYU NA WENGINE WATAKAO MJARIBU MH GAMBO.HAIWEZEKANI KUFANYA DHARAU YA NAMNA HII HATA BUNGE LILIFUATA UTARATIBU HUU NA LIKATUMA HELA KWA MKUU WA MKOA IWEJE MEYA AFANYE KINYUME.NAOMBA TUACHE SIASA KATIKA MAMBO YA MSINGI KAMA HAYA MHE.GAMBO AACHWE AMALIZIE KAZI ALIYOIFANYA KWA KUJITOLEA NA KWA UAMINIFU MKUBWA.
 
Serikali hii ina penda kufatilia vitu vya ajabu sana.kama watoto vile.unaweza ukajiuliza hawa wazima kweli?
Jeshi la polisi ndo kabisaaaa.
Twendeni/nendeni huku wanaenda tu.inasikitisha sana
 
Kwanzia leo basi uyo rpc awe anawapangia ratiba watu wake...mtu ukiamka ujue cha kufanya usivunje sheria. Wanawapa lift kwani walifikaje hapo.
 
Nadhani semina elekezi hazijawasaidia hawa ma RC na DC bado wanatumia madaraka vibaya !!!!!
Only in Tanzania
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] jamani hawa polisi
 
Matahira wako wengi ni sheria ipi inataka rambirambi apewe mkuu wa mkoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…